Japo sio mtu wa hotel management lakini malengo ya hayo mataulo ni kama yalivyoweka na utaona size hayalingani. Hili la chini ni taulo carpet na ukilikanyaga utasikia na kama reli au vibox vidogo vidogo.
Utanote nile la -kwenye sink la kuogea ni kubwa zaidi na la sink la kunawia ni dogo kidogo.
Tena familia ya hotel za Sherraton na Marriot wao ndi wamezidi unakuta taulo 6 kila moja ni pair un top of that wanakuwekea bath robe ya taulo na tag 'yuo can take this with you'. Mbongo si unajua tena, nikabeba. Siku ya kuondoka nikakuta bill US$ 100. For the bath robe!.
:'room service is available free of charge.!
Safari ni kujifunza, ila mpaka leo sijaelewa kwanini walini-charge ile hela na sijawahi rudia hiyo faulo!!
I know only three towels. face towel, hands towel and bath towel. sasa hilo la chini hata cjui. Mi napitaga tu kwenye hotels, kwa raha au safari za kazi.
Hiyo nadhani itakuwa 'transport' service, au?
😱😕 Ya kutoka wapi? Ya kuleta breakfast?!
Mwanjelwa, si mataulo tu, umewahi kukumbana na glasi zinazowekwa mule bafuni? Jamani mnaojua kazi zake tusaidieni kutoa ushamba, manake mi nilikuwa naziona tu hata kutumia sikuthubutu.
Jikoni mpaka chumbani kwako..
Hiyo nadhani itakuwa 'transport' service, au?
..mmenikumbusha kasheshe lililonikuta Chicago,mabwege nimefika Hotel sasa nacheck out after 2 days nakuta bill imezidi for almost 300$ ,nikauliza whats up with this bill? jamaa akaanza kunipa bill breakdown,then...sir,and this is for your parking,damn ng'ombe wale ilikuwa nusu waniitie police!
Yeap hiyo ni service charge since hukutaka kushuka lobby for breakfast na ukataka kuletewa chumbani kwako...so you have to pay for the service.
Hivi, room service na sevice charge kuna tofauti gani? Wenyewe wamesema kila kitu bure ndani ya chumba chako. Na hiyo breakfast imo kwenye list. Sasa unaweka order, bado wanadai dola 15! Hii inakuwaje? Mimi nililipa, kwa ubishi sana, ingawaje kwa kweli mpaka leo inaniuma kwa kuwa nahisi nililipishwa kwa ushamba tu. Mpaka nitakapota maelezo,, nikirudi pale sitakaa hata siku kidogo.
..mmenikumbusha kasheshe lililonikuta Chicago,mabwege nimefika Hotel sasa nacheck out after 2 days nakuta bill imezidi for almost 300$ ,nikauliza whats up with this bill? jamaa akaanza kunipa bill breakdown,then...sir,and this is for your parking,damn ng'ombe wale ilikuwa nusu waniitie police!
Parking in chicago ni mimba usicheze na parking in chicago...for just an hour parking in a meter ni $1.00,na hiyo ni meter only bado hujapark garage..inaelekea wewe ulitumia min bar na simu ndiyo maana bill yako ikawa si *******.