haya maswiming pool hunivutia sana (infinite pool)

haya maswiming pool hunivutia sana (infinite pool)

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
infinity-pool-singapore-chen_46147_990x742.jpg
 
Dah subiri wataalamu wenyewe waje
 
Huu uoga wangu wa maji sijui utaisha lini!
 
Naenda sana ila siwezi kuingia kwenye maji namna hiyo.hata kusafiri baharini ni mushkeri
 
Ssa wanaweka Serengeti huko mbal.waweke twn huku watu weng.kma HYATT REGENCY NA BLUE PEARL wanayo ya kawida yako juu ya Gorofa tunayafaid kidgo
 
Nilishaoga kwenye pool ka hilo yaani its an unforgettable experience halafu nje ilikuwa baridi lakini maji ya moto huku unaenjoy view!
 
Back
Top Bottom