Haya masihara Sasa!!!

Haya masihara Sasa!!!

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,272
Reaction score
987
[emoji1] [emoji1] [emoji1] unaleta mzaa na pesa !!!
Inst-image-1.jpg
 
Mwaka 1990 kuna jamaa anaitwa Kevin Poulsen alihack kituo cha radio KIIS-FM akacrash simu zote kupiga kwenye kile kituo ili yeye ashinde zawadi yao ilikuwa gari Porsche 944.
FBI walipomshtukia ikabidi jamaa akimbie mji, walipokuja mdaka alifungwa miaka 5 na akazuiwa kutumia internet kwa miaka 3 straight.
Isije ikawa huyo aliyeshinda hizo billions nae ni ukanjanja jamaa wanamuita waje wamdake kiulaini!.
 
1990 inernet ilikuwepo?
 
Safi sana...

Wenzetu sheria zao ni safi sana... yani term and conditions zinazingatiwa kisheria...

Hapo ni mpaka labda wathibitishe jamaa alifariki muda mfupi baada ya kushinda ndiyo taratibu zingine zitafuata...

Siyo huku, watu wanadhulumiwa bahati nasibu zao kila siku, wanampa yule wamtakao wao...

Cc: mahondaw
 
1990 inernet ilikuwepo?
Toka miaka ya 1960s internet ilianza kufanya kazi kupitia Packet Switch Networks kama ARPANET, Tymnet, Telenet na CYCLADES. Enzi hizo internet ilikuwa kwa watu professionals kama reseachers, proffessors, jeshi, Media, Banks etc.
Hacking hazikuanza baada ya commercial internet kuzagaa kwenye historia hacking zilianza miaka ya 1900 huko kabla hata ya wazo kuwepo.
Miaka ya 1957 kuna dogo kipofu wa miaka 7 alikuwa anaweza hack mtandao wa simu kwa kutumia sauti yake tu, akapiga simu bila kulipia hela!.
Kuna mwingine anaitwa Kevin Mitnick miaka 13 tu lakini mwisho wa maelezo, yeye alikuwa anahack mitambo ya kulipia bus ticket, mitandao ya simu kupiga bure, alikuwa anahack computer za jeshi, makampuni anaiba software zao ambazo bado hazijatoka. Alipokamatwa ilibidi polisi waiombe mahakama jamaa asipewe dhamana wala asiwe karibu na kifaa cha mawasiliano kwamba alikuwa anaweza hack mtandao wa NORAD akaruhusu mabomu ya nyuklia kulipuka marekani. Hiyo yote miaka ya 1979 bado hata WWW haijawa kwa watu wote!.
Makundi ya hackers kama The 414s, KILOBAUD, Legion of Doom, Cult of the Dead Cow nayo kipindi hicho yapo moto bila kusahau virus washaharibia computer watu sana!.
Miaka ya 1990 Tim Berners Lee toka CERN akatambulisha rasmi World Wide Web (www) duniani. Haimaanishi internet haikuwepo ila aliisimplify mtu wa kawaida kuweza itumia!. Na mwaka 1994 Hackers nao wakaiadapt Websites (www) vizuri toka kwenye mfumo wa zamani wa Bss.
Internet ilikuwa imeshaanza muda sana, 1990 WorlWideWeb ndio ilizaliwa rasmi.
 
Thanks Wick. Hujawahi kuniangusha broh..
Nimekuelewa
 
Nami nimejifunza kitu hapa, asante mleta uzi nikutakie muda mwema
 
Anaongelea Ulaya sio Tanzania
Alishanielezea kwa kina mkuu. Enjoy
 
baada ya kutangazwa mshindi huenda alipoteza faham hajazinduka bado
 
Safii
 
Mwaka 1990 kuna jamaa anaitwa Kevin Poulsen alihack kituo cha radio KIIS-FM akacrash simu zote kupiga kwenye kile kituo ili yeye ashinde zawadi yao ilikuwa gari Porsche 944.
FBI walipomshtukia ikabidi jamaa akimbie mji, walipokuja mdaka alifungwa miaka 5 na akazuiwa kutumia internet kwa miaka 3 straight.
Isije ikawa huyo aliyeshinda hizo billions nae ni ukanjanja jamaa wanamuita waje wamdake kiulaini!.

Hivi unaweza kuhack matokeo ya uwanjani?
 
Toka miaka ya 1960s internet ilianza kufanya kazi kupitia Packet Switch Networks kama ARPANET, Tymnet, Telenet na CYCLADES. Enzi hizo internet ilikuwa kwa watu professionals kama reseachers, proffessors, jeshi, Media, Banks etc.
Hacking hazikuanza baada ya commercial internet kuzagaa kwenye historia hacking zilianza miaka ya 1900 huko kabla hata ya wazo kuwepo.
Miaka ya 1957 kuna dogo kipofu wa miaka 7 alikuwa anaweza hack mtandao wa simu kwa kutumia sauti yake tu, akapiga simu bila kulipia hela!.
Kuna mwingine anaitwa Kevin Mitnick miaka 13 tu lakini mwisho wa maelezo, yeye alikuwa anahack mitambo ya kulipia bus ticket, mitandao ya simu kupiga bure, alikuwa anahack computer za jeshi, makampuni anaiba software zao ambazo bado hazijatoka. Alipokamatwa ilibidi polisi waiombe mahakama jamaa asipewe dhamana wala asiwe karibu na kifaa cha mawasiliano kwamba alikuwa anaweza hack mtandao wa NORAD akaruhusu mabomu ya nyuklia kulipuka marekani. Hiyo yote miaka ya 1979 bado hata WWW haijawa kwa watu wote!.
Makundi ya hackers kama The 414s, KILOBAUD, Legion of Doom, Cult of the Dead Cow nayo kipindi hicho yapo moto bila kusahau virus washaharibia computer watu sana!.
Miaka ya 1990 Tim Berners Lee toka CERN akatambulisha rasmi World Wide Web (www) duniani. Haimaanishi internet haikuwepo ila aliisimplify mtu wa kawaida kuweza itumia!. Na mwaka 1994 Hackers nao wakaiadapt Websites (www) vizuri toka kwenye mfumo wa zamani wa Bss.
Internet ilikuwa imeshaanza muda sana, 1990 WorlWideWeb ndio ilizaliwa rasmi.
Nashukuru kwa elimu mkuu,
wewe unafaaa kuwa MDUKUZI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom