Mapenzi ya siku hizi yamekuwa ghali sana na hela hazionekani kabisa

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,850
Ndugu wana Jf .

Ukitafakari sana kwa kina mapenzi ya siku hizi yamekua ghali sana kuliko kawaida, kama wewe ni wakuandika gharama za hela unazo honga honga na kumtunzia mrembo wako utakuja kushtuka ni hela nyingi sana zinaenda.

Unajikuta mwamba una pisi yako mara imeumwa, mara kuitoa out, mara sijui ukitoka aout ijirembe kidogo, mara hela ya kula kaishiwa ghafla , hujakaa sawa siku anataka akupe utelezi mara gharama za lodge hiz hapa hapo bado hamjala na nauli hujaweka.

Mwamba unaona hapana acha nitafute madanga ya hapa na pale . Nayo ni hivyo hivyo gharama za utelezi zinakuwa ghali sana ukionga mara kumi kwa mwezi upewe utelezi na danga gharama ni zile zile kama ukiwa na pisi ya uhakika.

Mbaya kabisa ukitaka kuichukua pisi kwao uiweke ndani uwe unajisevia free , hiyo gharama ya kuitoa kwao utasikia mara mahari mara ukipiga shoti kati watakuambia faini ya uchafuzi mambo yamekuwa mengi sana na ni gharama mno kupata mapenzi kizazi hiki cha nyoka.

Wazazi wetu huu mfumuko wa gharama za mapenzi na nyie mlikuwa mnapitia au shida ni nini.

Kwa hali hii kweli CHAPUTA pamoja na kiongozi wao dronedrake wakiombewa watapona kweli.?
 
Naokoa Pesa ambayo ingepotea kizembe kama ningetoa Mahari, au 50k kumhonga Nuru anitunuku tunda wakati BabyCare imekava nafasi yake

Makange pale Fancy kila siku, naongeza Proteins adhimu nazoziachia kila nikiji-bakari M.

KATAA K

NJOO CHAMANI
Wewe jamaa kuna muda unahoja ila unayaepuka vipi madhara ya punyeto pale unapo amua kuitumia punyeto kama kinga dhidi ya uchumi wako maana kweli wanawake sahivi ni ghali sana aisee, ukigusa hawa punda milia inabidi urisk sana maana nyundo za kutosha zitakuhusu na wakati mwingine kupigwa mawe hadi kufa?
 
Kama kijana, lazima upange wakati katika maisha yako yakujiweka mbali na haya mambo, unaweka energy katika kujiimarisha, financially, emotionally, and academically.
Ukiamua kujiweka mbali na haya mambo Hakika huwezi kuukwepa mpango wa dronedrake wa kukuza chama chake cha CHAPUTA , lazima ujiunge na chama taka usitake labda uwe hanithi.
 
Kama hugharamii chochote kujua haina madhara, shida nipale uwe una gharamika sana alafu ukajua unachapiwa. **** mida wanaume hatuli ili kuhonga mtoto wa mtu
Ugonjwa hauangalii kama unagharamia au hugharamii, unaupata tu. Mwanamke ambae analiwa nje ni rahisi sana kukuletea magonjwa na mikosi kwenye maisha yako. Kwa wale wa kuhonga sana, kuna ambao wamenunua magonjwa kwa milioni zao,na bado pisi zao zinaliwa tu nje.
 
Back
Top Bottom