Haya mapenzi basi

Haya mapenzi basi

Kama bado unampenda usimwache wanaume sisi ni walewale tu pigania penz lako mpaka hatua ya mwsho one day changamoto zitaisha na atadhamin uwepo wako kwakuwa mvumilvu
Hakuna mkamilifu utaumizwa tena uendako
Wanaume hawabadiliki kirahisi, achukue hamsini zake mapema kabla ya kujutia kupoteza muda
 
Nanukuu
"...nikifikiria kumuacha ananifanyia jambo zuri nasahau mawazo ya kumuwacha,najikuta najiona mjinga.."

No offence meant,ila ndivyo ilivyo.
 
Unataka kumuacha, umepata kwa kuhamia? Na huko uendako umejihakikishia hutorudi kujutia unakoacha? Maana Tamaa za mda mfupi zinawazuzuaga nyie! Sasa unakiri kupendwa na kufanyiwa vizuri sasa unataka nn!? Mapenz bhana!! Mwisho wa yote hayo ni kumbwela mbwela tu. Sasa njia rahisi kabisa ya kufanya... Nunua kondom Kisha pasua utoe kondom kisha ubaki na kasha tupu, kisha uziweke kwenye mfuko wako,. Mtakapokutana uigize kama unatoa cm halafu uzidondoshe kasha za kondom akiwa anaona halafu ujifanye kama unashtuka hivi..... Kisha urudi kutuambia. Kila la heri...
Hahaaaaaa lol hii kweli kali
 
Back
Top Bottom