Haya mapenzi basi

Haya mapenzi basi

Unataka kumuacha, umepata kwa kuhamia? Na huko uendako umejihakikishia hutorudi kujutia unakoacha? Maana Tamaa za mda mfupi zinawazuzuaga nyie! Sasa unakiri kupendwa na kufanyiwa vizuri sasa unataka nn!? Mapenz bhana!! Mwisho wa yote hayo ni kumbwela mbwela tu. Sasa njia rahisi kabisa ya kufanya... Nunua kondom Kisha pasua utoe kondom kisha ubaki na kasha tupu, kisha uziweke kwenye mfuko wako,. Mtakapokutana uigize kama unatoa cm halafu uzidondoshe kasha za kondom akiwa anaona halafu ujifanye kama unashtuka hivi..... Kisha urudi kutuambia. Kila la heri...
 
Issue yako ngumu dear ungetaja sababu zinazokufanya umuone haeleweki eleweki ningekupa maujanja ya kumuacha bila kuleta madhara kwako wala kwake, so funguka tukusaidie
 
Hajali, ukimuuliza mbna kimya maelezo 1000..nampenda lakn ntakuwa na amani zaidi kama ntaweza kumuacha

Duh, maybe he is busy kweli, give him more time kuliko kuwa chanzo cha kuvunja moyo wa mwenzio.
 
Unataka kumuacha, umepata kwa kuhamia? Na huko uendako umejihakikishia hutorudi kujutia unakoacha? Maana Tamaa za mda mfupi zinawazuzuaga nyie! Sasa unakiri kupendwa na kufanyiwa vizuri sasa unataka nn!? Mapenz bhana!! Mwisho wa yote hayo ni kumbwela mbwela tu. Sasa njia rahisi kabisa ya kufanya... Nunua kondom Kisha pasua utoe kondom kisha ubaki na kasha tupu, kisha uziweke kwenye mfuko wako,. Mtakapokutana uigize kama unatoa cm halafu uzidondoshe kasha za kondom akiwa anaona halafu ujifanye kama unashtuka hivi..... Kisha urudi kutuambia. Kila la heri...

Jamaa atamsamehe kwakuwa naye si mwaminifu
 
kama unaona anakufanyia mambo mazuri basi hauna haja ya kumuacha
 
Double standerd men
Heshima kwenu wakuu
kitambo nilipotea ila nimerudi

Nampenda lakini nataka nimuache
kila nikifikiria kumuacha ananifanyia jambo zuri nasahau mawazo ya kumuwacha,najikuta najiona mjinga

nipeni mbinu za kumwacha kimya kimya
Ushauri pls
kama huna usiquote
 
kama unaona anakufanyia mambo mazuri basi hauna haja ya kumuacha
Demu kashakujua udhaifu wako na atakusumbua sana kuwa makini na hilo. Nakuapia hata siku moja hatokubali umuoe kwa sababu anakujua nje ndani wewe huna msimamo, ogopa sana mwanamke akikujua kuwa hujielewi, hapo kwako anavuta muda tu akipata wakueleweka lazima uje humu na sred tu. Yetu macho
 
Issue yako ngumu dear ungetaja sababu zinazokufanya umuone haeleweki eleweki ningekupa maujanja ya kumuacha bila kuleta madhara kwako wala kwake, so funguka tukusaidie
Mleta uzi ndiye haeleweki ,mwanamke anamchexesha kwata, " nyuma geuka" jamaa anageuka akiambiwa we mbuzi, anakasirika kwa muda akiletewa pipi anafurahi, and so on.
 
Heshima kwenu wakuu
kitambo nilipotea ila nimerudi

Nampenda lakini nataka nimuache
kila nikifikiria kumuacha ananifanyia jambo zuri nasahau mawazo ya kumuwacha,najikuta najiona mjinga

nipeni mbinu za kumwacha kimya kimya
Ushauri pls
kama huna usiquote
tupe sabab inayokufanya umwache, tuanzie hapo kwanza
 
Heshima kwenu wakuu
kitambo nilipotea ila nimerudi

Nampenda lakini nataka nimuache
kila nikifikiria kumuacha ananifanyia jambo zuri nasahau mawazo ya kumuwacha,najikuta najiona mjinga

nipeni mbinu za kumwacha kimya kimya
Ushauri pls
kama huna usiquote
Pole fikiri kwa makini kabla ya kufanya maamuzi kwani inaonekana unampenda usimuache unayempenda na anayekupenda kwan huwez jua mwingne atakuwaje ikiwa anaweza kukufanyia jambo na unaliona zuri jitahidi kutunza pendo hilo inawezekna ndo zawadi yako.uciogope changamoto
 
Heshima kwenu wakuu
kitambo nilipotea ila nimerudi

Nampenda lakini nataka nimuache
kila nikifikiria kumuacha ananifanyia jambo zuri nasahau mawazo ya kumuwacha,najikuta najiona mjinga

nipeni mbinu za kumwacha kimya kimya
Ushauri pls
kama huna usiquote
Usiilazimishe nafsi kama umesema na moyo wako na still your not happy nae, am sure utakua na ujasiri wakumweka chini
ukamwambia ukweli sababu usijiudhi nafsi yako wala usimpotezee mda wake na wako vile vile....
 
Duh, maybe he is busy kweli, give him more time kuliko kuwa chanzo cha kuvunja moyo wa mwenzio.
Dah....Mkuu kuna kipindi na mimi nilikuwa busy hatari yani nikicheza tu naharibu maisha halafu mtu anakuletea maneno eti lazy people are always busy aiseee alivyosepa nilipumua maana jitu ukiliambia bishi anataka chatin tu....hawa dada zetu majanga
 
Heshima kwenu wakuu
kitambo nilipotea ila nimerudi

Nampenda lakini nataka nimuache
kila nikifikiria kumuacha ananifanyia jambo zuri nasahau mawazo ya kumuwacha,najikuta najiona mjinga

nipeni mbinu za kumwacha kimya kimya
Ushauri pls
kama huna usiquote
Umetuambia sababu inayokufanya usimuache kuwa ni mambo mazuri anayokufanyi.Sasa tuambie sababu inayokufanya umuache
 
Badili namba ya simu....hama unapokaa ....kama kazi hama kazini yani hama sehemu zote anazozijua ili asikutafute.

NB.
Ila mie nilibadili namba ya simu na akaipata namba yangu mpya.
 
Back
Top Bottom