Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
kuna harufu ya ukweli hapo !! Lakini mimi na wewe tunatamani nini?!!
wewe kumbe si mtu mzuri humu ndani hututakii kheri kwenye hii Jamii forums kwanini umejiunga humu ndani Mkuu mgosi9? bora ujitoe humu ndani nenda kwenye facebook kule ndipo kunapo kufaa wewe. Mkuu Invisible unamsikia huyu mwanachama mwenzetu anavyosema maneno ya pumba?11. natamani jf ifungiwe
12. natamani ccm ishindwe kwenye uchaguzi ujao
kuna harufu ya ukweli hapo !! Lakini mimi na wewe tunatamani nini?!!
why lol??natamani mvua inyeshe kila siku
natamani mvua inyeshe kila siku
natamani mvua inyeshe kila siku
hiyo namba 8 inanihusu, gari yangu ilikuwa kila mwezi gereji kwa sababu kitu fulani kilikuwa kibovu, lakini nilipopata spea original nikaadimika kwa muda wa miezi 7, yule fundi akaanza kunitafuta mara kwa mara eti mbona kimya??