Haya mambo yanachekesha sana hata kama yanatuuma

Hapa dili ni kuongeza wabunge wengi wa upinzani ili kuleta uwiano au wabunge wa upinzani wawe 62%
 
Kwa Chenge , anko atafunga breki, kwata la kisheria atakalochezeshwa atajuuuta kumfahamu
 
Chenge ivi hana binti au kajukuu ka kike nikatoe posa kuwa na mkwe anaejiamini hivo aisee
Duuuh ana watoto wakali kinyama maana ni mixer ya mtu wa kaskazini na ngosha sasa hao hybrid wa hapo kaka majibu unayo mwenyewe. Alikuwaga hapo udsm miaka ya 2010+ hatari sana
 
Na hivi hawa ivi na "mkulu"!!!
Hata mkulu kipindi cha kampeni zake alivyofika Bariadi hakumuombea kura mzee wa vijisenti wala kumshika mkono kumtambulisha kama ndie mgombea ubunge, hahahahaaha.
Hala hala isije ikawa kupigana kwa tembo tukaumia sie nyasi
Acha uongo. Uongo dhambi kama hujui kaa kimya.au unatafuta ukuu wa wilaya kaka? Sio mbaya ukiupata unikumbuke katika ufalme wako
 
Back
Top Bottom