ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,583
- 44,827
Kataa usikatae ccm fisad na ccmwasiojulikana ni team mbili znazo nufaika na ccm
CCM mtu anaenda na mwili tu akili anaicha alikotoka unafikiri kutokuelewana kungetokea wapi? Akili inayotumika na mtu mmoja tu wengine wanafuata kwa makofi na ndiyo, ila sehemu yoyote yenye watu wanaotumia akili zao wenyewe kufikiria lazima kutokuelewana kupo mkuu nikusema tu ipo steji ipi,
Sent using Jamii Forums mobile app
TEAM MEMBE
TEAM LOWASA
Kisha baada ya 2025 anamuachia mwingine ndani ya chama..ni mwendo wa cvm hadi mwisho wa dunia..upinzani utawala wao mwisho ufipa.
Sent using Jamii Forums mobile app