Haya makavu live (Part 2)




Unajua nini mrembo, nature siku zote hata haijaribiwi....

haya ,maneno umeyaongea hapo juu kwa mbwembwe kweli,

lakini naamini kabisa hata wewe ukipewa hizi sound na ngonjera za kiume zitakukuna tu....
 
Mrembo by Nature nimeyapenda maneno yako kwa kweli hadi nimejikuta nakupenda na wewe mwenyewe(Hapa nimeongea straight to the point.lol

Mapenzi ya dot.com bila mbwembwe si mapenzi ati. Watu wanakesha wakiangalia movies na tamthilia sasa kwanini wasijaribu kufanya "practical"??
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume mkweli hana MIKOGO,HANA MBWEMBWE,HANA SWAGGER KWAMBA YEYE NI FULANI NA ANA NINI,AU ANA HELA FULANI,KAMA AMEKUPENDA ATAKUWA STRAIGHT KWAKO KWAMBA ANAKUPENDA,KISHA ATAKUSIKILIZA....UKIONA MBWEMBWE NA MDUNDIKO,MANENO LEPELEPE TANI 8 ZA MCHANGA,NA ADVERTISE NYINGI JIULIZE,KULIKONI KWANI TUNATENGENEZA MOVIE?


hii ni true kbs!!! nimeipenda
 
hahaaaaaaaa.... nimependa hii balaaa
"HUELEWI HESABU HADI UPEWE FOUR FIGURE NA KOMPASI"
 
JF ni think tank ya kila kitu atii, hata masanja anacopy huku....kweli iishi milele JF. Hivi na ile JF SACOS imefikia wapi vile
 
Naona Paw amepunguza mapenzi kidogo, namrusha roho asije akanichukulia poa wakati im forever-a-babe
Siku hizi umebadili avatar aaah punguza mitego
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Paw

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…