Haya Majengo Yako Wapi Hapa Tanzania??

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
51,764
107,978
Naomba mtu anisaidie haya majengo marefu kwenye hii picha yako wapi?

4.jpg
 
Mkuu naona hizi mali ndizo zile babu yetu wa awamu ya kwanza alizo taifisha kutoka kwa wahindi ili sisi waswahili nasi tuwe na uwezo wa kimaisha na maendeleo kama wao wahindi walivo lakini wahenga waminena mbuzi wa masikini hazai na akizaa basi .huf.............
 
Back
Top Bottom