Haya Majengo Yako Wapi Hapa Tanzania??

Haya Majengo Yako Wapi Hapa Tanzania??

Yako Toure Drive. Walisema yabomolewe, lakini mpaka leo Mhhh!!!!!! Rushwa bwana - cheza na rushwa weye-Ogopa CCM ya walarushwa
 
Nani kakuruhusu kuweka picha ya nyumba yangu hapa?
 
Sio hayo,,
Yale unavuka barabara ndio uifikie bahari!

barabara ipo ila huwezi kuiona picha imepigwa kwenye boti kutokea bahari, barabara haionekani.
 
Back
Top Bottom