Haya maisha haya

Haya maisha haya

wakuu hali siyo powa, hivi ni kweli humu hakuna mtu anamhitaji mfanyakazi wa kumpa 3000 kwa siku nina Degree ya Accounting and Finance nipo Arusha ila ikiwa hiyo kazi ya 3000 ipo Arusha itapendeza sana

Email yangu ni masaimasai3400@gmail.com
Maisha ni magumu kweli yajayo hayafurahishi hata kidogo kama mtu yupo tayari kulipwa 3000 na ni graduate katika level ya degree inabidi serikali ituangalie vijana la sivyo rate ya suicide inaweza kuongezeka kwa graduates wengi nikiwemo mimi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom