Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,268
- 101,738
Kasha kuambia kazi IPO, we una muuliza IPO Tena??Kazi ipo mkuu?
Kasha kuambia kazi IPO, we una muuliza IPO Tena??Kazi ipo mkuu?
Kasha kuambia kazi IPO, we una muuliza IPO Tena??Kazi ipo mkuu?
Kazi gan hiyo mkuu sio ya kulala na kirungu? Tena kwa kuibia ibiaShida mkiandikaga humu mnataja 3000 kwa siku, ila mkiitwa mahali mnaanza kuleta udegree mahali pa ukibarua!
Ukiwa dar kama unataka kazi ya 150k kwa mwezi nitafute. Hiyo 150k kwa mwezi ni inclusive!
Wala sio ulinzi mkuuKazi gan hiyo mkuu sio ya kulala na kirungu? Tena kwa kuibia ibia
Mi hata ya buku Tano sifanyiHata hiyo course yake angezingatia elimu asingekua anaomba kazi za buku tatu.
Tatizo letu tunasaka GPA (ndogo ndogo) na kuepuka sup.
Na wewe bwanamdogo Hustler89 usijishushe kiasi hicho aisee, buku 3 per day???
Ushapata mchongo wa uhakika?, naomba connection mi ni driverMi hata ya buku Tano sifanyi
Hamna ni michongo hii ya kawaida ila 5000 ni dau dogo sana labda chakula kiwe Kwa boss. Wewe driver wa magari au pamoja na mashine kama forklift na wheel loader?Ushapata mchongo wa uhakika?, naomba connection mi ni driver
Light vehicles tu mkuu.Hamna ni michongo hii ya kawaida ila 5000 ni dau dogo sana labda chakula kiwe Kwa boss. Wewe driver wa magari au pamoja na mashine kama forklift na wheel loader?
Hivi A to Z wanapokea vibarua kila siku?Pole mkuu, umejaribu viwandani kama A to Z hapo kisongo?
Kweli kabisa mrembo.Maisha haya mtihani Sana, Pole Sana ndio maana tunafundishwa tushukuru Kwa kila jambo kidogo chako kikubwa Kwa mwenzako.
Mi nafanya ila nilipwe per day.Mi hata ya buku Tano sifanyi
Sasa GPA kubwa ivo unaomba kazi ya buku 3 mzee, acha izo.Nina GPA ya 4 mkuu
Bro tatizo sio hilo wewe pia haujui kuna wenzie amesoma nao kozi HIO HIO wamemaliza Chuo pamoja kabla hata ya kuchukua cheti tayari wameshapata Ajira wanafanya kazi Ila yeye mpaka leo kazi hajafanikiwa kupata hata kuajiriwa bado, kwa HIO punguza masimango Mzee Matola uitumie PhD yako vizuri kwenye kutoa ushauri na sio kulaumuWatu wasomee kazi wawe na skills.
Soma Master yake fasta, kisha uwe mhadhiri vyuoni.Nina GPA ya 4 mkuu
Masters sio bure labda apate scholarship aongee na yule Meneja Wa Makampuni labda ampe ABC za scholarship za masters zinakuajeSoma Master yake fasta, kisha uwe mhadhiri vyuoni.