T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,113
- 30,543
Kwa kweli mpendwa maana anaweza kufanya njia hata pasipo na njiaAcha Mungu aitwe Mungu
Vipi kwema lakini kapeace
Kwa kweli mpendwa maana anaweza kufanya njia hata pasipo na njiaAcha Mungu aitwe Mungu
Hivi jamaa ana maisha magumu sana au watu hawapendi lifestyle yake?! Kama jamaa ana maisha magumu sana basi asilimia kubwa sana ya waTZ wanaishi maisha magumu sana!ha ha ha ha mkuu umenichekesha sana ujue le mutuz ni age mate na wakina jk sema wenzake wametusua yeye alikimbilia ulaya saizi kaludi maisha yamempiga so kaamua kuishi kijanja janja ha ha ha jamaa anamiaka zaidi ya 60 alafu utamuona kwenye after school bash na watoto wa sekondari
Maisha hayana kanuni, tushukuru kwa kila tunachopata.kuna visa kuvisema hapa naingiwa na hofu na mfadhaiko ila kuna watu mambo yalikuwa safi ila sasa yameenda kombo ila yote maisha cha msingi ni pumzi ya uhai, duniani tunapita tu yule unayeweza kumuinua fanya ivyo MUNGU atakubariki
Hahahaha angalia asikusikie maana jamaa hapendi kuambiwa ukweliha ha ha ha mkuu umenichekesha sana ujue le mutuz ni age mate na wakina jk sema wenzake wametusua yeye alikimbilia ulaya saizi kaludi maisha yamempiga so kaamua kuishi kijanja janja ha ha ha jamaa anamiaka zaidi ya 60 alafu utamuona kwenye after school bash na watoto wa sekondari
Kweli kbs dadaakeMaisha haya yaani hayajawahi kutafsirika kwa sababu hayana njia mbadala kwamba ukiishi hivi basi yatakuwa hivi.
Kweli mkuu, na hata katika maisha kwa ujumla wake. Simaanishi kama jamaa wa makopo na familia yake walikosea mahali, ila kuna watu wanahisi kuwa hali walizonazo waliumbiwa wao pekee na walio chini yao ni kama wanyama vile. Tujitahidi sana kuheshimu kila tunayekutana naye maishani, mifano kama yako nimeiona MINGI sana.Huku uswazi ninapoishi kuna wale vijana wanaokota chupa za plastic nafikiri wengi mnawafahamu. Wanakuwa very rough hivi. Juzi juzi wakati natoka geto uswazi nikakutana na mmoja na zigo lake la chupa, tukapishana paap.
Kwenda mbele akili ikarudi hii sura mbona naijua? Nilivyogeuka nikagongana nae kageuka ananiangalia akanipotezea akaondoka, njia nzima nikawa najiuliza huyu nimemuona wapi? Baada ya muda akili ikakumbuka ni fulani, tumekuwa nae mtaani enzi hizo!
Kujiridhisha nikampigia simu ndugu yangu mmoja, nikamwambia nimekutana na mtu kama fulani anaokota yale machupa, ndugu yangu huyu akanithibitishia ndio yeye anajua kuwa anafanya kazi hio. Nikakumbuka utotoni, kwao huyu jamaa ilikuwa ni familia mfano wa kuigwa, kila kitu kiko mstari. Baba very strict watoto wanasoma. Kilichotokea hadi huyu jamaa kuwa hivi sijui ni nini. Yote maisha!
Kisa hiki kimenikumbusha siku moja bi mkubwa kanipigia simu. RR jana nimekutana na James supermarket kanipa $500! Anakutafuta! Huyu James wakati nasoma yeye alikuwa level moja na kaka yangu. Mimi form 1 wao form 4. James kwao hali ilikuwa mbaya sana mara nyingi alikuwa anakuja na bro nyumbani weekend analala na kupata mahitaji mengine ya shule. Ni stori ndefu sana, kifupi nilienda kuonana na James tukaongea sana na kukumbushana mengi na sasa hivi ana kampuni kubwa sana ya IT na yuko vizuri sana kiuchumi.
Kuna mengi ya kujifunza hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ha ha ha ha mkuu umenichekesha sana ujue le mutuz ni age mate na wakina jk sema wenzake wametusua yeye alikimbilia ulaya saizi kaludi maisha yamempiga so kaamua kuishi kijanja janja ha ha ha jamaa anamiaka zaidi ya 60 alafu utamuona kwenye after school bash na watoto wa sekondari
Hahahahahahahaaaa daaaah noma sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maisha ndivyo yalivyo,
Hata le mutuz pale alipo si kuwa anafurahia basi tu ili mradi maisha yaende na kujifariji na wabebezi!
Wewe ndio kichaa. Tukiwaambia mnadandia hoja bila kufikiri ndio hivo. Sasa hapo rais kaingiaje? Uwe na adabu mbuzi weweeRais wa ccm kafanya watu vichaa
Swissme
Ni mchukie kwa lipi ndugu,hahaaaaaaa,,,mkuu unamchukia sana lemutz
akiachia zile nywele labda apake pico!ha ha ha ha mkuu umenichekesha sana ujue le mutuz ni age mate na wakina jk sema wenzake wametusua yeye alikimbilia ulaya saizi kaludi maisha yamempiga so kaamua kuishi kijanja janja ha ha ha jamaa anamiaka zaidi ya 60 alafu utamuona kwenye after school bash na watoto wa sekondari
Maisha yana kupanda na kushuka......hatuijui kesho yetu