Wewe ndio kichaa. Tukiwaambia mnadandia hoja bila kufikiri ndio hivo. Sasa hapo rais kaingiaje? Uwe na adabu mbuzi wewee
Waokota machupa ukikutana nao ghafla ww wazo la kwanza utamwazia nini?
Wewe ndio kichaa. Tukiwaambia mnadandia hoja bila kufikiri ndio hivo. Sasa hapo rais kaingiaje? Uwe na adabu mbuzi wewee
Kwa hyo leo umeukana ushua kwa mudaMkuu hawa watu wasikuumize kichwa. Ukiwaambia unaishi mahali fulani watakwambia show off, ukiwaambia unaishi uswazi napo tabu tu!
SafiIm all weather my dear...!
kwa mbaliii naweza amini,,Ni mchukie kwa lipi ndugu,
Si kweli yale maisha anayafurahia kama ukimtizama kwa jicho la tatu,
Unajua hata ukimuona mtu anahela na anakunywa pombe hovyo jua kuna kitu hakipo sawa katika maisha anayoishi.
Maisha acha tu usimzarau mtu
maisha hayana formula
Kuna jamaa mmoja katusua ila nikikumbuka alivyokuwa na sasa hivi nashindwa pata jibu
Maisha hayana formula kesho yetu hatuijui ni Mungu pekee ajuae...
Kweli kabisa...Inasikitisha
Inafurahisha
Inatufundisha
Inatukumbusha
aisee we noma kweliHakuna aijuae kesho
Kawaidaaisee we noma kweli
Huku uswazi ninapoishi kuna wale vijana wanaokota chupa za plastic nafikiri wengi mnawafahamu. Wanakuwa very rough hivi. Juzi juzi wakati natoka geto uswazi nikakutana na mmoja na zigo lake la chupa, tukapishana paap.
Kwenda mbele akili ikarudi hii sura mbona naijua? Nilivyogeuka nikagongana nae kageuka ananiangalia akanipotezea akaondoka, njia nzima nikawa najiuliza huyu nimemuona wapi? Baada ya muda akili ikakumbuka ni fulani, tumekuwa nae mtaani enzi hizo!
Kujiridhisha nikampigia simu ndugu yangu mmoja, nikamwambia nimekutana na mtu kama fulani anaokota yale machupa, ndugu yangu huyu akanithibitishia ndio yeye anajua kuwa anafanya kazi hio. Nikakumbuka utotoni, kwao huyu jamaa ilikuwa ni familia mfano wa kuigwa, kila kitu kiko mstari. Baba very strict watoto wanasoma. Kilichotokea hadi huyu jamaa kuwa hivi sijui ni nini. Yote maisha!
Kisa hiki kimenikumbusha siku moja bi mkubwa kanipigia simu. RR jana nimekutana na James supermarket kanipa $500! Anakutafuta! Huyu James wakati nasoma yeye alikuwa level moja na kaka yangu. Mimi form 1 wao form 4. James kwao hali ilikuwa mbaya sana mara nyingi alikuwa anakuja na bro nyumbani weekend analala na kupata mahitaji mengine ya shule. Ni stori ndefu sana, kifupi nilienda kuonana na James tukaongea sana na kukumbushana mengi na sasa hivi ana kampuni kubwa sana ya IT na yuko vizuri sana kiuchumi.
Kuna mengi ya kujifunza hapa.
Jamaa bado kijana mbichi kabisa maana yupo uvccmNi mchukie kwa lipi ndugu,
Si kweli yale maisha anayafurahia kama ukimtizama kwa jicho la tatu,
Unajua hata ukimuona mtu anahela na anakunywa pombe hovyo jua kuna kitu hakipo sawa katika maisha anayoishi.