Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,773 Reaction score 16,911 Jan 19, 2025 #41 Mzee umezoea supu zenye viazi, weka siku moja hoyo Broccoli utasimulia kijiji kizima Vice J said: Kama kuna kitu inaitwa "broccoli" sijawahi kuielewa kabisa Click to expand...
Mzee umezoea supu zenye viazi, weka siku moja hoyo Broccoli utasimulia kijiji kizima Vice J said: Kama kuna kitu inaitwa "broccoli" sijawahi kuielewa kabisa Click to expand...
mkabasia JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 3,079 Reaction score 2,842 Jan 21, 2025 #42 Yanafaa yawe yamechanganywa na nyama au ndizi Kula hivi hivi mh.