Haya Magroup ya Whatsapp ni hatari sana kwa Wanandoa na Wachumba. Nimeshuhudia mambo ya Kutisha

Status
Not open for further replies.
Sasa wew unataka ushahidi gani tena zaidi ya utafiti uliofanywa na mleta thread? Nakuwa na mashaka juu ya uhalali wa unacho kitetea huenda ukawa moja kati ya wahusika...
umesoma uzi ukaumaliza mzee? Hivi sasa hivi na mimi kwa makusudi nikikutaja unamiliki kundi sampuli ya mtoa mada utakuwa ni ukweli au si ukweli?
 
mimi sina group hata moja whatsap na sitakikabisaa
1yanapoteza muda
hela sa bando
usumbufu kabisaa sitaki hata kusikia mtu yeyote akiniunga withn minutes naondoka mchewww.......
 
Asante kaka na ndicho ninachopinga watu kupiga majungu kwamba hamna haja ya kuwepo hayo makundi.

Hapo kwenye Umbea hadi sasa sijaona waliohusishwa na huo umbea kuletwa hapa scree shot kuthibitisha. Ila cha Ajabu watu wameamini.

Nitatolea mfano nilishaleta uzi wa britanicca ukionyesha yeye ni mwizi lakini ulifutwa na JF walipousoma na kugundua kuna kila aina ya uthibitisho waliamini na kuurudisha. Kumchafua mtu kwa maneno hakutoshi.
Daby my Brother from another mother Mark me kuwa hiki kinachosemwa na hao wahusika ni kweli kabisaaa (hata bila screen shoot).

Mtoa mada anakwepa kuleta hizo evidence akiwa na "akili timamu" hata wahusika wanataka sana hizo evidence ili wam defeat jambo ambalo muhusika amelishtukia.

Kuleta hizo screen shoot ni kukoleza moto zaidi, na kunaweza zidisha damage kwa wahusika na kutawaongezea promotion either negative/Positive.

Ni vyema ibaki hivyo ili wengine wahukumiwe kwa hisia kuliko ukaja ushahidi alafu wengine tukaona namba za tunaowapenda au ndugu zetuu Aiseee itakuwa shida zaidi.
 
Duuh! Nna wasiwasi nawe!!! Yaani una mda wa kufuatilia wanachofanya wanawake!? Kwa manufaa gani? Hayo mambo hayajaanza leo mkuu... Yapo miaka na miaka tena yameaniza huko fb kabla ata ya whatsapp...
Wewe lea mabinti zako kwenye njia inayompendeza Mungu!!! Hao wengine acha tu waendelee kudanganyana!
 
Hebu msianze kuyapa hila magroup ya whatsapp ni machache yenye ujinga kama huo na pia kama yapo yenye mambo ya ajabu na mtu anaendelea kuwepo ujue huyo aliye kwenye hayo magroup ndio yamemfaa yaliyomo humo kwa sababu uwezo wa kuleft kama group hujalipenda upo.

Hivyo hiyo ni akili mbovu ya huyo mdada hakuna kingine hapo.
Unaona eeh!!! Hamna anaelazimishwa kuwepo humo...
 
Wanaume tunaumia vichwa kila siku kwa kuwaza matendo tunayofanyiwa na wanawake kila siku.

Wanawake wanapotoka, wamekuwa wasiojali hisia na maumivu ya waume zao. Wajeuri, matusi, dharau, kashfa na u Malaya vimekithiri kwa nyakati hizi.

Big up researcher, keep it up.
 
Jambazi;

Mbona naona umekuwa too judgemental kwa Daby?

Kama umeusoma Uzi huu ukauelewa na umesoma comments kwa comments sioni mahali ambapo huyo unayemu offend amekosea kiasi cha kumuweka "kapu" moja kwamba naye ni "muhusika".

Toka mwanzo amesisitiza kuletwa kwa ushahidi dhidi ya wanaotuhumiwa, (Jambo ambalo sio baya)

Pia ametoa maoni yake kwamba yapo makundi mazuri tu huko WhatsApp na mabaya pia yapo, ila tusihukumu kwa majumuisho mpaka tuogopeshane kuchangamana kwenye forums nyingine nje ya Jf ambazo zinaweza kuwa zime originate from closeness yao wahusika humu Jf mpaka wakaona uhitaji Wa kutengeneza " kutaniko" lao jingine huko.

Nadhani pia tujenge desturi ya kukosoana kwa staha bila kuhukumiana ama kukashifiana.

Yapo maisha mengine nje ya JF ambayo yanaweza zalishwa/tokana na mahusiano yetu humu ya kimaandishi na imaginations.
 
Hahaaaaa!


Binafsi hapa imebidi nifanye maamuzi magumu, Niko mbioni kuyatafuta hayo magrupu.

Huu ushamba unatost sanaaaa yaani kabisaaa nimekosa hata tu grupu tumoja tu? Hapana!
NDO NACHOSHANGAAA!

YANI even a clue!
na kuna watu wana namba zangu!
hakyamama MEWAMANDIIIIIIIII!
hapa ningekuwa NASIMULIA MIMI STORY SIO KUSIMULIWA NA KUBAKI NAUNGANISHA DOTS HATA HAZIUNGI!


TULIWAKOSEA NINI LAKINI?
mi sikubali!
 
Daby my Brother from another mother Mark me kuwa hiki kinachosemwa na hao wahusika ni kweli kabisaaa (hata bila screen shoot).

Mtoa mada anakwepa kuleta hizo evidence akiwa na "akili timamu" hata wahusika wanataka sana hizo evidence ili wam defeat jambo ambalo muhusika amelishtukia.

Kuleta hizo screen shoot ni kukoleza moto zaidi, na kunaweza zidisha damage kwa wahusika na kutawaongezea promotion either negative/Positive.

Ni vyema ibaki hivyo ili wengine wahukumiwe kwa hisia kuliko ukaja ushahidi alafu wengine tukaona namba za tunaowapenda au ndugu zetuu Aiseee itakuwa shida zaidi.
 
Huu ujasiri wa kujiunga kwenye magroup hivi watu wanautoa wapi maana mie sina tena group halina hata maudhui yamaana ni kuchati tuuu chaaaaa.... Yanipite tuuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom