cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 26,766
- 73,433
hakiiiii HAKUNA KITU KINAUMA KAMA UMBEA UKUPITE,heri UPISHANE NA GARI LA SHIRIKA LA UGAWAJI LA TAIFA!
Enzi za duka la kaya!
ROHO INANIUMA MPKA SIJIELEWI!
Haha Ngoda95 hiki nichakushangaa saana. Afadhali umeelewa lengo la comments zangu.Jambazi;
Mbona naona umekuwa too judgemental kwa Daby?
Kama umeusoma Uzi huu ukauelewa na umesoma comments kwa comments sioni mahali ambapo huyo unayemu offend amekosea kiasi cha kumuweka "kapu" moja kwamba naye ni "muhusika".
Toka mwanzo amesisitiza kuletwa kwa ushahidi dhidi ya wanaotuhumiwa, (Jambo ambalo sio baya)
Pia ametoa maoni yake kwamba yapo makundi mazuri tu huko WhatsApp na mabaya pia yapo, ila tusihukumu kwa majumuisho mpaka tuogopeshane kuchangamana kwenye forums nyingine nje ya Jf ambazo zinaweza kuwa zime originate from closeness yao wahusika humu Jf mpaka wakaona uhitaji Wa kutengeneza " kutaniko" lao jingine huko.
Nadhani pia tujenge desturi ya kukosoana kwa staha bila kuhukumiana ama kukashifiana.
Yapo maisha mengine nje ya JF ambayo yanaweza zalishwa/tokana na mahusiano yetu humu ya kimaandishi na imaginations.
ila si unisamaraizie tu!Kuna watu wanatetea sana hii issue kama kweli hakipo...sijui wana maslahi gani
Vale inabidi ujitathmini sana
kweli kabisa, kwa hilo nafunga mjadala wangu kuhusu haya mambo ya magroup ya watsap kila mtu aishi maisha yake kama inavyompendezaKimsingi wabongo wengi tuna matatizo mengi tu ya kisaikolojia na kiakili, ndio yanapelekea tuko kama tulivyo. Hii michezo nadhani imekuwepo kitambo, teknolojia zinarahisisha tu. Kabla ya whatsApp, tulikuwa tunaisikia kwenye saluni za kike na kitchen parties(baadhi). Humu kwenyewe JF, kina mama wengi wanao-shine(specially MMU) ni wanaojihusisha na matusi kwa namna moja au nyingine.
Punchline is, badala ya kulaumu teknolojia, inabidi tujiangalie wenyewe. Kuna uzi mmoja watu walikuwa wanafunguka waliyopitia katika makuzi yao...dah! ulinifungua macho kuelewa kwanini baadhi wana-act wanavyo-act(It's been hell on earth). I'd say more than 60% of Tanzanians need some serious psychotherapy.
Kama mke ni kunguru ni kinguru tu,hata ukidelete magroup hayatasaidia. Muhimu ni kuomba mke mwema,mengine mtazidishiwaMke wako kama yupo na wewe unaangalia tu wewe una matatizo
Chukua simu yafute yote badilisha line
Format simu mpe
Ukikuta ana zile zile namba jua basi mkeo ana tatizo sugu