Haya Magroup ya Whatsapp ni hatari sana kwa Wanandoa na Wachumba. Nimeshuhudia mambo ya Kutisha

Status
Not open for further replies.
Mtoa mada big up sana
Mchumba wangu ni mpole sana nilipogundua point anazochangia kwenye magrup yao ikanisaidia kumjua yeye ni mtu wa aina gani ...nimegundua mdomo wake ni mchafu anasema matusi hatari na nimemuogopa na sijaamin kama ni yy
Mkuu are you serious!
Kweli Mungu alituumbia , ila sasa yamebakia majanga, vimebaki visura tu, ukitazama utapenda uwe nae ,ila ndani wameficha mapepo na majini yakila aina ya uovu!
 
Mnaomponda mleta mada mtakuwa na lenu jambo, whatsapp groups nyingi ni ushetani namba mbili, hasa groups za watu wanaoungwa il hali hawajuani. Ni ushetani, ni groups chache zenye maudhui mazuri, nyingi ni uchafu tu.

Niliungwa grp moja nadhani 2014, ilikuwa grp poa sana, watu walijadili issues kama uchumi, siasa, sports, biashara etc lakini katika baadhi ya wale members kulikuwa na watu wachafu balaa. Anaweza kuja private na kukurushia clip yake akijichua, it's true na it happened to me, a very decent woman came to me in private, chats mbili tatu, mara karusha picha yake ya kawaida, unajua tena wanaume, nikaisifia, nashangaa picha akiwa half nude, nikasifia then full nudity...wooow nikaisifia. Baadae naona ametuma clips mbili akijipiga vidole, dah..I resisted lakini baadae kaniambia we could meet smwhr city centre.
 
Hivi members wa hapa kuwa na group lao la whassap shida ipo wapi? Mbona tunakuwa na magroup ya familia ilihali nyumbani tunakutana?

Nafikiri mnatakiwa muulize je kilichosemwa ni sahihi kwa kutumiwa scree shots ila sio kuhoji uhalali wa uwepo wa hayo makundi.
 
Daby ujue kila mtu na mtazamo wake sio lazima tufanane.

Wewe mtizamo wako unaona sawa mimi wangu unaona si sawa maana kama ni mada tunajadili hapa jukwaan nikiwa na shida binafsi ntakuja private.

magroup ya familia na mengine yana umuhimu maana hakuna sehemu au mtakutana na kushare vitu mbali mbali kila wakati isipokua kwenye group.

Haya yote yanayotokea ni matokeo ya hayo magroup mpaka watu wanaanza kupanick...ila nimesoma shuhuda chache humu inaonyesha ni kweli hivyo vitendo vipo.
 
Mimi inabidi nihoji uhalali wa whatsapp grps zinazotoka jf, especially kama hazina maudhui muhimu. If it's stories watu wanapiga stories humu, kutafutana kwenye hizo grps ni kumualika ibilisi aweke mazingira ya kutongozana na kutafunana tu, nothing more.
 
Ukimwaga Mafuta Ya Taa Ktk Shimo Lazma Mijoka Itatoka Huko Inawashwa. Mie Pia Nlishakua Ktk Hayo Magroup Kama UnderCover Agent And Trust Me,This Shit Is For Real. Alafu Hii Mijanamke Bota Hata Itumie Namba Ambazo Sio Wanazotumia Kifamilia Au Za Siri,Unakuta Wanatumia Namba Zao Na Ukiangalia Dp Unakuta Pic Za Familia Zao. Na Nimeshawafyatua Kama Wa2 Wake Za Watu (Hawajaolewa Ila Amezalishwa Na Anaishi Na Mtu). Do You Know What I Did?? Very Simple,Nlianzisha Mada Ya Kusquirt Most Wanasema Hawajawahi,So Unakuta Blinded By Lust Wanatamani. Mie Najipigia Pasi Like "Kuna Mkaka Alinikojoza Uyo Ila Now Tumeachana" Uwez
Kuna grup la wasangaji nilijipenyeza humu kabla adm hajakuunga unamtumia voice clip nikamtumia voice clip niliyokuwa nayo kwenye sim akaniruhusu kule ndani kulikuwa balaa yaani huwezi kuamini,. Walikuwa wanapeana appointment za kusangana.

Fb kuna mama mmoja mke mtu mzima alikuwa ananitumia picha za hovyo.. sikulazia damu nikapiga
 
MAGROUP YA WHATSAP NI MADANGURO MAPYA YA MJINI NA MAKUADI WAPYA: NEW STRATEGY YA KUTAFUTIANA MABWANA. UTANDAWAZI AFRIKA UMETUSHINDA, HATUTUMII MITANDAO VIZURI.

NB: WADADA WANAUAMINI SANA USHAURI WA WADADA WENZAO HASA MARAFIKI, TOFAUTI NA SISI WANAUME.. WADADA WENGI HUWA HAWACHANGANYI NA ZAO.

kweli kabisa
 
Kuna grup la wasangaji nilijipenyeza humu kabla adm hajakuunga unamtumia voice clip nikamtumia voice clip niliyokuwa nayo kwenye sim akaniruhusu kule ndani kulikuwa balaa yaani huwezi kuamini,. Walikuwa wanapeana appointment za kusangana.

Fb kuna mama mmoja mke mtu mzima alikuwa ananitumia picha za hovyo.. sikulazia damu nikapiga
Aisee
 
Daby ujue kila mtu na mtazamo wake sio lazima tufanane.

Wewe mtizamo wako unaona sawa mimi wangu unaona si sawa maana kama ni mada tunajadili hapa jukwaan nikiwa na shida binafsi ntakuja private.

magroup ya familia na mengine yana umuhimu maana hakuna sehemu au mtakutana na kushare vitu mbali mbali kila wakati isipokua kwenye group.

Haya yote yanayotokea ni matokeo ya hayo magroup mpaka watu wanaanza kupanick...ila nimesoma shuhuda chache humu inaonyesha ni kweli hivyo vitendo vipo.
Sasa kama unajua kila mtu ana mtizamo wake kwanini wanaoanzisha makundi usione wana mtizamo tofauti na wako. Kuna makundi ya biashara. Kuna makundi ya diaspora watu tunasaidiana. Kuna kundi Mtz alibe-deported akasaidiwa. Sasa makundi ya humu hayana umuhimu kweli????

Sitetei kinachojadiliwa wala wenye magroup ila naona watu washaamini ilihali hata ushahidi sijauona. Weww unahisi aliyetajwa na umeamini anayafanya kumbe hayafanyi anajiskiaje..... gademuuu
 
Mimi inabidi nihoji uhalali wa whatsapp grps zinazotoka jf, especially kama hazina maudhui muhimu. If it's stories watu wanapiga stories humu, kutafutana kwenye hizo grps ni kumualika ibilisi aweke mazingira ya kutongozana na kutafunana tu, nothing more.
Eli79 uhalali upo kulingana na wanagroup. Maudhi muhimu ni yapi? Kila mtu anamaudhui muhimu kwake. Kama mtu kakubali kujiunga na group liwe la mapenzi siasa au biashara kwake ni Maudhi muhimu.

Mfano mimi namjua Asprin namjua Mr Rocky namjua Eli79 na wote tunajuana tukiwa na group ni dhambi? Mmojawapo wa member aliyetajwa hapo juu anagroup la biashara na wanafanya mikakati yao. Kuna ubaya gani hapo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom