Haya Magroup ya Whatsapp ni hatari sana kwa Wanandoa na Wachumba. Nimeshuhudia mambo ya Kutisha

Status
Not open for further replies.

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,047
2,000
Huu ni utafiti mdogo nlioufanya kwa miaka mingi sana. wanawake wanadanganyana sana wao kwa wao pasipo hata wao kujua kuwa wanadanganyana na kusalitiana.

1. Kuna dada mmoja chuoni alikuwa ana rafiki yake anamshawishi aachane na boyfriend wake huyo dada akaachana naye kwa ujinga huo. Baada ya wiki mbili akaja kugundua rafikiye aliyemshawishi anatoka na aliyekuwa boyfriend wake.

2. Kwenye groups za kina dada wengi wanafundishana ujinga, ujeuri na umalaya ukiacha yale makundi ya watu wa dini au wenye kujielewa. Unakuta wadada wanamwaga siri zao mle ndani mpaka unaweza ogopa. Nipo kwenye group moja wakidhani ni mwanamke mwenzao lakini nliingia kwa lengo la kujifunza nini wanafanya. Kuna dada mmoja anasema ana mtoto ambaye si wa mumewe, ilitokea alichepuka mara moja na jamaa yake wa zamani akashika mimba then dada huyo akaja amsakizia mumewe hiyo mimba na sasa wana mtoto ambaye si wa mumewe.

3. Wadada wengine hujazana ujinga kuwa mume asikuendeshe, akikuzingua achana naye wanaume wapo wengi. Mmoja anadiriki kumwambia mwenzie mi ningekuwa mzuri kama wewe ngekuwa nawapanga tu huyu wa simu huyu wa saluni, huyu wa kunijazia mafuta, huyu wa.... ni mambo ya aibu sana. Wanawake muwe makini sana na makundi yenu

4. Kuna dada mmoja alikuwa anamuunganishia member mwenzie kwa bwana kuwa kuna mtu mmoja ana pesa aliona picha ya huyo member anataka wafahamiane. Akawa anamshawishi kabisa waonane nikaenda private kuwasiliana naye akiamini mimi ni mwanamke mwenzie akasema hata mimi anaweza nipatia mwanaume mwenye pesa sema alikuwa ananigogopa sababu naonekana nipo serious sana. Akasema yeye yupo kwenye magroup kama 20 hivi anafahamiana na mastar wengi sana hivyo wakitaka watu wa kampani anawapa.

Ukiangalia kuna wanawake wengi kwa sasa manyani na kusagana wanafundishana humo. Kuna muuza dildos, mgawa waume na mfundishaji style, mapishi n.k Hili kundi admins wake ni makahaba na mabinti wa shetani.

Nami nipo kwenye group lao mwaka wa pili huu nikitumia namba mbili tofaut pasipo wao kujua.
 

Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
13,902
2,000
Shilawadu Shilawadu kampeni sasa imewafanya wanaume wapende umbea kweli, sahivi wanaume kwa umbea ni too much, ukaomba mpaka uwekwe kwenye group la wakina mama ilihali uchunguze mambo ya wakina mama ulichokipata umekipata, pamoja na kwamba uliyoyapata hayaipendezi jamii ila acha kuchunguza mambo ya watu huna kazi ya kufanya??
 

Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
37,131
2,000
Hebu msianze kuyapa hila magroup ya whatsapp ni machache yenye ujinga kama huo na pia kama yapo yenye mambo ya ajabu na mtu anaendelea kuwepo ujue huyo aliye kwenye hayo magroup ndio yamemfaa yaliyomo humo kwa sababu uwezo wa kuleft kama group hujalipenda upo.

Hivyo hiyo ni akili mbovu ya huyo mdada hakuna kingine hapo.
 

Mitha

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
504
1,000
Hebu msianze kuyapa hila magroup ya whatsapp ni machache yenye ujinga kama huo na pia kama yapo yenye mambo ya ajabu na mtu anaendelea kuwepo ujue huyo aliye kwenye hayo magroup ndio yamemfaa yaliyomo humo kwa sababu uwezo wa kuleft kama group hujalipenda upo.

Hivyo hiyo ni akili mbovu ya huyo mdada hakuna kingine hapo.
Nimekuelewa vizur sana mkuu, kula like za kutosha
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom