Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 489
- 1,268
Huwa najiuliza mabasi na daladala yanatoka stendi yakiwa yamejaza abiria na kupita vituo vya mafuta kujaza mafuta kwa ajili ya kuendelea na safari hakuna hatari yoyote ya mlipuko?
Je, kwa bahati mbaya basi limejaza abiria zaidi ya 60 halafu linaenda kujazwa mafuta halafu from no where mlipuko ukatokea kituo cha mafuta si raia wengi watapoteza maisha.
Mi nishauri mamlaka inayohusika wasimamie hili mabasi na daladala yajaze mafuta ndo waingie stendi kubeba abiria,siyo kubeba abiria na kwenda kujaza mafuta na wasisubiri ajali zitokee ndo matamko yaanze.