Haya magari yanayojaza mafuta kwenye vituo vya mafuta yakiwa na abiria, je kuna hatari?

Hivi hili ni la Serikali au abiria kuchukua hatua? Maana sisi ndio tunapelekwa shell lakini tumekaa kimya etu unasubiri Serikali ichukue hatua si upumbavu huu
Mimi hua nasema jamii nzima ya watanzania ina matatizo ndio maana hata viongozi tunao toa ni matatizo maana wametoka miongoni mwetu.

Hili swala lipo mikononi mwa raia lakini hakuna anae thubutu kuchukua hatua.

Kesho huyu mtu tukampa ukuu wa wilaya atachukua hatua gani?
 
Back
Top Bottom