Haya mafuta ni ya nini na matumizi yake ni yapi?

Haya mafuta ni ya nini na matumizi yake ni yapi?

Ok, nn kazi yake?

Kazi yake ni kuongeza nyege. Inaweza kuwa anaona humshughulikii vizuri akaamuwa atumie hayo mafuta ambayo ukiipata harufu yake unakuwa na hamu zaidi ya ku do.
 
Kazi yake ni kuongeza nyege. Inaweza kuwa anaona humshilikii vizuri akaamuwa atumie hayo mafuta ambayo ukiipata harufu yake unakuwa na hamu zaidi ya ku do.

Asante sana mkuu, huwa wanayapaka mwenye papuchi au ni ya kunywa?
 
Kazi yake ni kuongeza nyege. Inaweza kuwa anaona humshughulikii vizuri akaamuwa atumie hayo mafuta ambayo ukiipata harufu yake unakuwa na hamu zaidi ya ku do.

Ila pia inawezekana anachelewa kupata ngenye, so anayatumia kubusti awahi kupata ngenye ai-enjoy vizuri na mumewe

Ushauri kwa mleta mada: haina haja ya kupaniki as long as umeyakuta ndani, angekuwa anatembea nayo kwenye pochi sijui anaenda nayo kazini sijui wapi huko ndo yangeleta hisia mbaya
 
Ithnk iyo nidawa ya kuzuia mimba coz i hav met with a certain point which states that" estrus medicine is a meicine used especially during ovulation to avoid fertilization "
 
Wadau, nimekuta sehemu hii!

Nasikia hayo mafuta pichani ni maalumu kwa wadada, huyanywa kuongeza hamu ya tendo.. Wadau wa mambo tupeni ukweli...Na nasikia huyatumia hasa pale wanapojua mwanaume aliyenaye hamridhishi.
 

Attachments

  • 1432831236495.jpg
    1432831236495.jpg
    9.9 KB · Views: 2,201
Khaa hivi wanakunywa eeh!! halafu ndo yanaenda ku-trigger ngeye

Kazi ipo basi

Kuna mdau juzi juzi aliyakuta nyumbani kwake sijui kama alirudisha mrejesho
 
Back
Top Bottom