Haya mafuta ni ya nini na matumizi yake ni yapi?

Haya mafuta ni ya nini na matumizi yake ni yapi?

Misk nayo inahusika kwenye kubust?

Pia kuna perfume inaitwa x-dark hiyo akikipuliza Ke hata kama umelala itabidi ujitutumue upige moja! Ni shida sana hayo mavitu. Kuna raia nikienda kwake nikishasikia harufu kwa mbali naaga fasta kwa simu ya uongo manake utataka tuu hata kama hautaki.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom