Ni kweli kabisa mkuu hujakosea ni hao hao. Ila mimi huwa nashangaa ujanja huu walio nao wa kuwazidi akili wanaume tena wengine wasomi kweli kweli, lakini utamkuta mwanaume kapanga foleni anangojea mwanaume mwenzie achomoe ili nayeye achomeke palepale kwenye makamasi aliyoacha mwenzie na pesa juu analipa eti!!
Wengine wana wake zao nyumbani ambapo wakikuta mke katembea nje anawaka kwamba kamtia najisi huku akisahau aliyokuwa ameifuata yeye huko kwenye foleni hizo.
Ndugu wanaume, wasichana single ni wengi sana siku hizi kama kuna mwenye shida ya kukosa maneno ya kuanzia kumwambia binti hata kama una umri wa babu yake ani pm nimtungie. Kwa kufanya hivyo wale watakosa wateja na madanguro yatafungwa na hivyo huduma hata kwa hao mnaotegemea wangeyadhibiti itakoma.
Kwa mtazamo wangu hawa ni watu salama sana. Kwa ndoa na huduma yao ni njema..sana.
kwa mfano anaeenda kununua hiyo huduma analipa anapewa akitakacho na kuondoka.! Atakachokifanya hapo ndicho hicho hicho atakachokifanya kwa mtu aliye lazimika kumpangia chumba kumlipia gharama nyingine nyingi zisizo na kichwa wala miguu.!
huduma ya changudoa au Malaya ni salama mno kwa mahusiano na ndoa.
1:huhitaji kutoa gharama za ziada unalipa kadri unavyotumia.
2: hakuna mawasiliano wala usumbufu wa kijinga..
3: unapopata huduma hii unakuwa na tahadhari ya kutosha sabbu humuamini na hakuamini.. lazima utumie kinga. Kwa afya Yako..!
4: unatimiza kiu yako kwa umbo lolote la mwanamke ulitakalo.. mfano.. mnene, mwembamba, mwenye hips ,mwenye matako makubwa. Mweupe, mweusi, mfupi, mrefu na nk..
5: unapata nafasi ya kutosha ya kujipanga kupata mwenza makini bila msukumo wa pressure ya Ngono..
6: baadhi yao wana familia zinawategemea na hiyo ndiyo njia pekee ya kujipatia kipato iliyo ya uhakika zaidi ambapo ana uhakika kwa siku hawezi kosa tsh 10000.
Hivyo kwa kununua bidhaa hiyo unakuwa umewasaidia kutunza watoto wao na kusomesha.. ambapo hilo ni jambo jema..!
Kabla hujawahukumu tambua kuwa nao ni binadamu na wana hisia kama ulivyo wewe. Wana heshimiwa na familia zao kama unavyoheshimiwa wewe..!
Mwisho.. Malaya wapo Nchi zote na natumai wapo kwa vizazi vingi sana kabla ya kizazi chetu.