Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
Ishara mbaya!! Ustawi wa jamii ni majangaa.... matokeo ni ongezeko la magonjwa ya zinaa na maradhi sugu. Serikali ipi ipo tu!
hii biashara ww inakukera nn kwa mfano au wanauza kinguvu!?
WAHAYA ndio wanauoza hii mavitu tena wana umoja wao kabisa kila sikukuu kubwa IDD, PASAKA &KRISMASI wanafanya sherehe kubwa sana PILAU na BIA za Kumwaga.
Aisee umei-promote!!!wanasaidia kupunguza : 1. ubakaji 2. kuvunjika kwa ndoa za watu maana wanaume wanapata huduma hiyo hivyo hawalazimiki kutongoza wake za watu 3. hawana gharama hivyo pesa inasaidia kulipia mambo mengine muhimu zaidi 4. wanaume wanapata huduma yeyote wanayoitaka kwa mfano kubebwa au kunyonywa n.k. 5. ajira kwa kina mama 6. idadi ya wapiga punyeto inapungua na faida zingine lukuki
Ni kweli kabisa mkuu hujakosea ni hao hao. Ila mimi huwa nashangaa ujanja huu walio nao wa kuwazidi akili wanaume tena wengine wasomi kweli kweli, lakini utamkuta mwanaume kapanga foleni anangojea mwanaume mwenzie achomoe ili nayeye achomeke palepale kwenye makamasi aliyoacha mwenzie na pesa juu analipa eti!!WAHAYA ndio wanauoza hii mavitu tena wana umoja wao kabisa kila sikukuu kubwa IDD, PASAKA &KRISMASI wanafanya sherehe kubwa sana PILAU na BIA za Kumwaga.
mkuu ungesema tu madanguro ungeeleweka vyema!kuna sababu ya kutaja kabila ili mada yako ieleweke?!
hukuiona version ya kwanza alivyokuwa ameandika kwenye title!ameediti ndo maana huioni!sasa tulio andika mwanzo tunaonekana kulalamikia kabila wakati tayari limeshatolewa!Ametaja kabila gani? Maana mimi nimesoma lakini sijaona kabila alilotaja zaidi ya sehemu zenye madanguro.
wanasaidia kupunguza : 1. ubakaji 2. kuvunjika kwa ndoa za watu maana wanaume wanapata huduma hiyo hivyo hawalazimiki kutongoza wake za watu 3. hawana gharama hivyo pesa inasaidia kulipia mambo mengine muhimu zaidi 4. wanaume wanapata huduma yeyote wanayoitaka kwa mfano kubebwa au kunyonywa n.k. 5. ajira kwa kina mama 6. idadi ya wapiga punyeto inapungua na faida zingine lukuki
tatizo ni sisi wanaume ambao ni wanunuzi wazuri wa hayo makitu tena tunapenda yaliyonona tuseme basi NO kununua tuone kama watawauzia nani.
Wadau nashangazwa sana na kuwepo na madanguro kila kona ya jiji la dar es salaam kuanzia uwanja wa fisi, Mwananyamala hospitali, temeke sudani, Tandika etc.
Tena kama mwananyamala ni mita 5 kutoka ofisi ya ccm na ofisi y mwenykiti seikali ya mtaa na bado wanafumbia macho je, ni kwamba mmehalalisha?
wanasaidia kupunguza : 1. ubakaji 2. kuvunjika kwa ndoa za watu maana wanaume wanapata huduma hiyo hivyo hawalazimiki kutongoza wake za watu 3. hawana gharama hivyo pesa inasaidia kulipia mambo mengine muhimu zaidi 4. wanaume wanapata huduma yeyote wanayoitaka kwa mfano kubebwa au kunyonywa n.k. 5. ajira kwa kina mama 6. idadi ya wapiga punyeto inapungua na faida zingine lukuki
Wanunuzi wakigoma yatafungwa, hivyo natoa wito kwa wanunuzi kuacha mara moja, vinginevyo ni ngumu