Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
Hapna sio Madalanzi'Hayo yanaitwa madalanzi. Ukiwa na njaa ukila unashiba
Hapa napo ni janga lingineSema wabongo kwenye kuzingatia ubora tulishashindwa, dar zinakuja kila aina ya takataka, mfano parachichi ilibidi niache tu kununua!
HAYO MACHUNGWA YANALIMWA BUZA HAYOUkweli ni kwamba tangu nizaliwe hadi sasa naelekea utu uzima wenyewe sijawahi ona haya machungwa. Nachojua machungwa aidha yawe matamu au machachu, ila hayakosi maji. Sasa haya sijui ya wapi. Na ni mwaka jana na huu tu ndio nimeanza kuyaona.
Chungwa kwanza kubwa, halafu gumu, kuonyesha kabisa lina walakini. Nanunua machungwa matano na yote nakatakata na kuyatupa. Naambulia hapo vimajimaji kiasi, na nyama ya chungwa iliyobakia ni ngumu, mbichi na isiyo na maji. Yanatoka wapi? Kwa nini yanakuwa hivyo? Au nayo yanapepewa kama ndizi?
Yani tunapigwa kila kona. Tikiti, ndizi, sasa machungwa, mbogamboga. Kwa nini haya machungwa wasiyaache hadi msimu wake?
View attachment 2942131
😅 Uliumia sana bila shakaKipindi ni mtoto Kuna shamba la mzee mmoja lilikua Lina mchungwa umezaa machungwa makubwa Yana rangi nzuri yanavutia lakini yapo tu watu hawayavuni mpaka yanadondoka chini mengi kweli
Nikawa najiuliza kwanini watu hawana habari nayo,siku Moja nimetoka shule Nina njaa na kiu nikasoma ramani nikaruka fensi kwa lengo la kuiba angalau matatu niishi,kweli bana nikaotea kama sita hivi
Nimeenda nimekaa chini ya mti Ninafurahia machungwa yangu
Kumenya Sasa!!
Chungwa sita zote ni sponchi kama vitenesi,niliulaani ule mti haikupita mwezi ukakaTwa
HakikaHAYO MACHUNGWA YANALIMWA BUZA HAYO
Sana mkuu just imagine nimesoma ramani nimeruka fensi nikachomwa na miba alafu mwisho wa siku naambulia vitenesi huku Nina njaa😅 Uliumia sana bila shaka
Duh nilijua ni m ndio huwa nashangaa parachichi za dar lazima liwe limeharibika sehemu..Sema wabongo kwenye kuzingatia ubora tulishashindwa, dar zinakuja kila aina ya takataka, mfano parachichi ilibidi niache tu kununua!