Haya macho ya Rey Mysterio ni halisi kweli?

Haya macho ya Rey Mysterio ni halisi kweli?

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
15,126
Reaction score
35,498
Wale wadau wa WWE nisaidieni maana sijalewa
IMG_20191217_165644.jpeg
IMG_20191217_165638.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nilienda kwa jamaa ile kugonga mlango kanifungulia msichana na macho yake yalikuwa kama ya paka
Nilikashangaa sana na kushtuka lakini nikakumbuka na mimi nilivaa Raizoni na Pekos [emoji23]
IMG_1706.jpg



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom