Ndani ya nchi yako unaweza kutembea kwa hofu ya namna hii kweli?
View attachment 3580263
Ila haters wa Samia bwana🤣🤣🤣🤣
Kwakweli mama amewashika pabaya mpaka wamegeuka wamekuwa kama matahiraaa. Hawajui wapinge lipi Wala waponde lipi..
Mama ameendelea kusimama palepale akiwa ngangari kabisa;
1. Walimpiga mkwara eti asichukue fomu, amechukua na ameshindwa.
2. Oooo, uchanguzi hautofanyika. Umefanyika na mama ameshindwa.
3. Wakapanga maandamano ya kumtoa, wameshindwa.....yalibuma.
4. Wamejaribu kumdhuru mitandaoni kwa kumchafua kwa Kila namna wakiungana na mashoga wenzao wa Kenya, mama hajali na anafanya mambo yake ya kuliletea maendeleo taifa letu pendwa akiwa kifua mbele.
5. Kitima na TEC yake wanatumia Kila aina ya mbinu kumchafua na kumharibia, lakini Mungu mwema.....mama ameendelea kusimama.
6. Wanapandikiza chuki katika uzanzibari wake, jinsi yake na dini yake. Mama ameendelea kuvikabili hivyo kishujaa kabisa.
7. Wanajaribu kuponda Kila hatua ya kimaendeleo anayoifanya, lakini wapi.....miradi inachomoza tu. Daraja la jangwani hiloooooooooo😋😋😋
Wana hasira haoooo🤪🤪🤪
Anyways, endeleeni na majungu yenu labda mtafanikiwa siku Moja.