The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,961
- 117,335
Lengo kuu ni kuficha macho yao ''Hide their eye movement'' anaweza akawa anakuangalia ila wewe huoni kama anakuangalia wewe,anakua anafanya scan kwa macho eneo hilo bila kuona kua amefocus kuangalia eneo gani,Kuna uhusiano gani wa kuwa mlinzi wa rais/kiongozi mkubwa na miawani myeusi?
Kwa kawaida mtu muovu humtazama mlinzi kwanza kama anamuangalia au anaangalia pembeni,so kama mlinzi kavaa dark sunglass,sio rahisi kujua kama anakuangalia wewe au anaangalia kwingine,ukivaa hizo miwani unakua unafocus to any potential attackers bila kuonwa movement ya macho yako.