Haya Mabegi Yamebeba Documents Gani Wanajamvi?

Haya Mabegi Yamebeba Documents Gani Wanajamvi?

Siku hizi malect ni masela sana, hamshindwani sana, wale wazee walikua hawataki Hela wanataka ushinde library kina kabudi wanaokwambia A ni ya Mungu kamwe hawezi toa A.
Duh Hata wale wa vipaji maalum walikuwa hawagusi?
 
Bullet proof sheds .......wanakunjua kama miamvuli....kumkinga principal
 
Ripoti mpiko kwa ajili ya rais tuu, lazima atembee nazo
 
Siku hizi malect ni masela sana, hamshindwani sana, wale wazee walikua hawataki Hela wanataka ushinde library kina kabudi wanaokwambia A ni ya Mungu kamwe hawezi toa A.
Kule udsm main campus, kuna mhaya mmoja anaitwa karamagi, daaah kwenye intermediate micro eco, mwaka wa pili, alikuja akatazamaaaa, halafu akauliza nyie ndo wachumi eee, mbna mpo wengi sana? Inatakiwa mpungue...kilichofuata GOD knows...

nilimpenda sana dr natu mwamba (katibu mkuu wa fedha wa sasa), aisee anaingia anawapa somo, halafu kwenye mthan analeta multiple choice, kueleza kidogo.
huyo karamagi, mara lokina, mara kirama, mkenda sasa na mke wake beatrice kwenye macro ni shda. ijapo macro huwa si ngumu.
-watu tuliona A kama anasa, tukaanza kuzitafuta huko FN na ST.

-CL ni nyepes, lakn kadeghe na mlindoko walisababisha tujione kama tupo east london
 
Bullet proof inazuiaje risasi ikiwa imekunjwa namna hiyo. Mtu ashambulie ndio mpalangane kukunjua hizo proof?
sasa ulitaka watembee nayo kama bendera ile ikitokea tukio inakunjuliwa kirahisi na kwa uharaka zaidi
 
Likifungwa linakuwa hivi

1777455729689.png

likifunguliwa linakuwa hivi

1777455783533.png
 
sasa ulitaka watembee nayo kama bendera ile ikitokea tukio inakunjuliwa kirahisi na kwa uharaka zaidi
Kuzidi kasi ya risasi ? Kwani wearable b.proof hazipo? Hayo mabegi ni pale unapo tokea vurumai ambayo inaweza kudhibitika ila mtu amefyatua risasi tayari hayo mabegi yanasaidia Nini? Uliona juzi kwa trump ilikuwaje?
 
Hata walinzi wa Maduro walikuwa ivi ivi.
 
Back
Top Bottom