Mimi ni miongoni mwa abiria wanaosafiri na mabasi ya MJ ya Kondoa to Dar. Haya magari kwa nje yanaoneka bomba lakn ni mabovu kuliko hata DCM za Mbagala 2 Kivukoni. Kwa usafiri wenye uhakika basi likitoka Dar. saa12asub. Kondoa linaingia saa12:30 jioni. Lakn siku hizi yanaingia mpaka saa5 usiku. Hili wanajf wenzangu mwalionaje?