Asante Mkuu kwa hizo pichafreedom of expression, wenzetu wako mbali sana ki-democrasia...
View attachment 506855
View attachment 506862
View attachment 506868
View attachment 506870
Niletee zawad ukirudAsante Mkuu kwa hizo picha
South ni south na Tanzania ni Tanzania Over!Wadau nipo mitaa fulani ya South Africa, Johannesburg nashangaa ninachokutana nacho kwa wiki sasa, nakutana na mabango makubwa ya kisasa (Banners), usiku yanawaka na taa pamoja na Mabango madogo madogo yaliyoandikwa 'Zuma Must Go'
Nikawaza mabango haya yangekuwa nchini kwetu yafuatayo yangetokea
1. Aliyeyaweka angekamatwa
2. Na yasingedumu hata Nusu saa
Nadhani wenzetu Demokrasia wako mbele kutuzidi.
3. Na ukiyaangalia vzr hayo mabango ni ya gharama sana. Yamegharamiwa na makampuni makubwa. Ingekuwa kwetu nadhani hao viongozi wa hayo makampuni wangetajwa kwenye Orodha ya Mkuu fulani
Nilikuwa kwenye daladala nikajaribu kupiga picha moja ya bango dogo, haijatoka vzr sana ila unaweza kusoma kwa mbali hilo Bango la hapo ktkt ya Barabara. View attachment 506841
Ngoja aje acomment hapaAnd what did he do to develop it?
Uhuru wa kuongea sana Tanzania bali hakuna Uhuru wa kutukana ambao hata kwa utamaduni wetu sio rafiki na umeanza kukemewa siku nyingi kumbuka hata mwinyi alivyochorwa na punch chuo kikuu chuo kilifungwa. South Africa kuna muandishi alimchora Zuma dhakari umesimama jumuia nyingi za haki ya binadamu zilimshutumu mchoraji yule akaomba radhi Je hiyo ni demokrasia?In Tanzania , we have a freedom of speech, but freedom after speech is not guaranteed.
Democracy ya kutukana?In Our Country democracy is dead!!
Ni vizuri tuwe wakweli, sisi bado ni 'primitive' katika siasa za kidemokrasia na viongozi wetu walio madarakani ndio kabisa mikia ya zama dam haijawakatika licha ya kwamba wamekanyaga madarasani, bado wako kama ng'ombe waliopita katika josho lenye maji yasiyo na dawa, kupe wamebaki pale pale!!!Afrika kusini Raisi hapigiwi kura na wananchi bali na Chama chake hivyo uchungu wao ni tofauti Sana na Tanzania, kila nchi na siasa zake na tamaduni zake, Hapa kwetu ukifanya hivyo unajenga chuki Kali Sana kwani hatujapitia siasa za ubaguzi kama wao
You can read an article from The Citizen.And what did he do to develop it?
Ingekuwa kwa tamaduni za nchi zingine baadhi kwa uchaguzi uliopita Tanzania ingeundwa serikali ya mseto ili lile kundi la People's power watu wake wapunguze hasira, Mabango mengi Afrika kusini ni Siasa za vyama vyenyewe na hata maandamano yao mara nyingi yanabeba itikadi za kivyama zaidi na utawala uliopo, Hapa kwetu watu wengi Siasa za kivyama na itikadi tunalazimishwa tu watanzania wengi wanaangalia Amani Sana ndio maana Tukishaandamana familia zetu zikiguswa kwa vifo na vilema tunakaa tunaogopa Sana, Watawala wanajua wakiendekeza upuuzi huu hapa kwetu italeta shida Baadae, Bora wachache waumie nchi ibaki salamaSijaona ubaguzi kwenye hili bandiko wala hiyo picha. Naomba unionyeshe huo ubaguzi.