Haya huchangia Mwanaume kuwa mchovu kitandani

come on kinamama njooni hapa fasta mumshikishe adabu Eiyer,anadiriki vipi kuwakandia kihivyo wakati mmemzaa?
 
wanawake wa siku hizi wana kiu kubwa full stop....
kiwango cha mahitaji yao ya kitandani kimeongezeka
kwanza wana do mapema
pili wana do na watu sio size yao
msichana wa miaka 15 unamkuta na njemba ya 30...
tatu wanataka sex ya ki porn star zaidi.....
nne vyakula na vipodozi vinawaongeza hamu...
tano....wanaambiana story za uwongo zinazowaongeza curiousity na hivo
kuendelea kutafuta the 'perfect guy' kila siku
sita wana do na watu wawili au zaidi at the same time
yani msichana ana vibwana vitatu na vyote anavipa huduma

halafu wewe na chips mayai yako uje kuwaridhisha.....
 
Babu DC,haya ndo matatizo yetu wanadamu,huwa tukiambiwa ukweli tunalitafsiri kwa njia hasi,uchafu upo na wapo wanawake wengi wachafu,huo ni ukweli,kama tunahitaji mabadiliko tusione haya kuzungumza ukweli,na tuwe positive hapa,lengo langu sio kuwatusi ni kuwaambia ukweli wanapokaa kimya kila mtu atautafsiri kivyake ukimya huo!Ila naamini wako wanawake smart ambao wako positive!Wanaoona haya na kupata hasira shauri zao!
 
Asee, USAFI muhimu, wengine wanapumua kiasi cha kumfanya JOGOO ashindwe kuwika kabisa! nilikuwa napita njia tu wakuu....!!
 
Hawataweza kamwe,ukweli lazima usemwe!

Aisee,

Nimeamini kwamba kweli dada zetu wana msimamo,

Yaani unaweza kuhisi kwamba walikaa kikao wakakubaliana kuisusa hii thread!!

Mbombo ngafu!!

Babu DC!!
 
Ha,ha,ha,haaaa,babu DC,kwamba kama vile wamekaa kikao,usijali,lakini thread yenyewe haijakaa kuwaponda kiviiiiile wao na roho zao tu!
 
Asee, USAFI muhimu, wengine wanapumua kiasi cha kumfanya JOGOO ashindwe kuwika kabisa! nilikuwa napita njia tu wakuu....!!

Watakuwa wamesikia,unajua mtu akikaa kimya jua amekuelewa!
 
Mimi pia nina shida sana ni mchovu sana kitandani yaani wakati mwingine huwa hata kumuingia mwanamke inakuwa ngoma kweli
 
Mimi pia nina shida sana ni mchovu sana kitandani yaani wakati mwingine huwa hata kumuingia mwanamke inakuwa ngoma kweli

Jikague kama sababu zilizoelezwa hapo hazichangii,kagua zingine!
 
ha ha ha ha, Gee Cee baba
unataka kuingia wapi?
Ana mlango? Huwa anakukaribisha au anauchuna tu?

Mimi pia nina shida sana ni mchovu sana kitandani yaani wakati mwingine huwa hata kumuingia mwanamke inakuwa ngoma kweli
 
Babu DC,uchafu mimi ni shahidi,niliwahi kuwa na binti mchafu,nilikuwa natumia hekima sana kumweleza ili asijifikirie vibaya lakini hakuwa akinielewa,nashukuru Mungu kilichofanya tusitishe uhusiano ni jambo jingine kabisa!

Ivi..tunavosema 'mchafu' tuna maana gani??
 
ngoja watoke kazini mtawaona.
Heading ingekuwa na neno 'mwanamke' wangeshajaa hapa
ila kwa mwanamke heading hii inatia uvivu kusoma sredi.
 
ngoja watoke kazini mtawaona.
Heading ingekuwa na neno 'mwanamke' wangeshajaa hapa
ila kwa mwanamke heading hii inatia uvivu kusoma sredi.

Kwani mwanaume hana uhusiano na mwanamke?Kuna mmoja ameshakuja!
 
Acha kupiga mswaki siku mbili utaelewa tu!

Ooh ivo...mshawahi kuwapa miswaki wakakataa kupiga au kumnunulia deodorant na hakuitumia??kumnunulia jeans low cut na asivae-ang'ang'anie hizo kanga??
 
mimi nnavojua kila mwanamke anapenda kupendeza na kumvutia mwanaume wake!kama jitihada zake hazitoshelezi mwanaume weka na zako..saidia kidogo!
 
Babu DC,asante kwa swali zuri,sio kweli kuwa wote niliokuwa nao wapo hivyo,ila nina marafiki nasoma visa mbalimbali na pia nakutana na wadada hawa kila siku,vitu kama kutoa harufu mdomoni na kwapani ni vitu vya kawaida,wanaume nao wanamatatizo hayo ila mwanamke na mwanaume ni tofauti!

kuna dada nasoma nae ni mzuri na mcheshi kwakweli ila ananuka mdomo jamani, ukifanya nae discussion utatamani muahirishe. Wa kwapa pia nimewahi kuwaona na nihatari harufu yao sijui ni ugonjwa...
 
Wakina dada kuweni wasafi muwarithishe wazee wenu.kwani uchafu huchangia kupunguza kasi ya game.
 
Back
Top Bottom