Haya huchangia Mwanaume kuwa mchovu kitandani

Babu DC,asante kwa swali zuri,sio kweli kuwa wote niliokuwa nao wapo hivyo,ila nina marafiki nasoma visa mbalimbali na pia nakutana na wadada hawa kila siku,vitu kama kutoa harufu mdomoni na kwapani ni vitu vya kawaida,wanaume nao wanamatatizo hayo ila mwanamke na mwanaume ni tofauti!

Uzoefu wangu mie ni tofauti,

Wanaume wengi ndio wananuka mdomoni, ndio wanavaa socks zinazonuka na ndio hawafui chupi mara kwa mara!!

Labda kama tunaongelea uzoefu wa maeneo tofauti....temperate Vs tropics!!

Babu DC!!
 
ukiona hajishughulishi, stopisha service.
Labda akiwa katulia ujue anasikilizia maumivu ya jino, anaogopa akijitingisha tu, yanapotea!!
(just thinking loud...)

Mwanamume anaweza kuwasha gari ila mwenye jukumu la kuliendesha hadi mwisho wa safari ni mwanamke...Jukumu la mwanamume ni kuhakikisha halikwami kwenye matope!!
 
Ee bwana umefunguka yote sawa na ndo maana wanaume wengi wanaamua kushiti

Hawa wabeijingi siwaoni ila vidonge vimefika
 
Babu DC,kuna ukweli mkubwa kwenye uliyosema,ila mwanamke kunuka mdomo?Dah,inatia kinyaa sana,kwa mwanaume inakera lakini inakua afadhali kidogo aiseee!Sisemi ni sawa kwa mwanaume kunuka mdomo ila kwa mwanamke ni zaidi ya kinyaa!
 
sasa hivi kuna kitu kinaitwa kibao kata
nikisikia mke wangu kahudhuria
nampa talaka, haruhusiwi hata kukanyaga mkoa niliopo.

Anyway, kitchen party ikichukuliwa kama sehemu ambayo kina mama wanafurahi, cheza, jiachia na kuongea pumba italeta maana.
Lakini, si sehemu ya kumfunda binti.
Nachukia sana haya mambo mnaita kitchen party....

laiti ningekuwa na mamlaka...Ningeyapiga marufuku mara moja!!

Babu DC!!
 
Babu DC,kuna ukweli mkubwa kwenye uliyosema,ila mwanamke kunuka mdomo?Dah,inatia kinyaa sana,kwa mwanaume inakera lakini inakua afadhali kidogo aiseee!Sisemi ni sawa kwa mwanaume kunuka mdomo ila kwa mwanamke ni zaidi ya kinyaa!

You are not being fair kaka....Ni kinyaa kwa wote bwana!!

Babu DC!!
 
hata wanawake wanakereka kwa kiwango hicho hicho mwanamme anapokuwa ananuka kitu chochote.

Ila sema, wanawake wana uvumilivu na wana uwezo wa kumbadili mwanamme.

Hakwambii unanuka mdomo, ila atakuandalia mswaki na dawa kila wakati.

Hakwambii unanuka kwapa, atajidai kukunyoa na kukupaka deodorant.

Hapo maana zao huwa ni, unanuka!!!

Ila hata geography za miili zinaongeza tofauti za harufu, so it's ....

Babu DC,kuna ukweli mkubwa kwenye uliyosema,ila mwanamke kunuka mdomo?Dah,inatia kinyaa sana,kwa mwanaume inakera lakini inakua afadhali kidogo aiseee!Sisemi ni sawa kwa mwanaume kunuka mdomo ila kwa mwanamke ni zaidi ya kinyaa!
 
Thanx kongosho,geograph za miili zinahusika pia,sawa wote wananuka na inakera sanaaaaa!Ila kwa mwanamke kunuka miguu,socks,mdomo,kwapa mhhh!
 
Babu DC,naweza kuwa siko fair ila nastaajabu sana wanawake kuwa wachafu wakati wao ndo pambo la nyumba!
 
Umekutana na huyo binti mmoja tu ambaye alikuwa mchafu au katika sample yako, zaidi ya 90% walikuwa wachafu?

Babu DC!!

Mkuu hilo siyo la kuliangalia kwa macho ya kupita, litafakari utabaini kuwa hawa wake zetu hubadilika baada ya kuolewa. Huacha kujitunza. Kabla hujamuoa alikuwa anakuvalia vizuri, lkn baada ya kumuoa anawavalia vizuri walioko nje wakati anatoka akiwa na wewe rafu rafu. Mikangakanga kama anaenda msibani na maziwa anayaning'iniza hovyo kama kandambili. Huo sio uchafu?

Na mdomo nao. Kuna jirani yetu aliambiwa na mkewe asubuhi saa moja "uwage kama wanaume wenzako" sijui alilitafsiri vipi, lkn kila aliyekuwepo pale aliona jamaa kawa mdogo kama piriton.
 
Bahati mbaya Bibi DC hajawahi kuwa hivyo,

Laiti ningekuwa na sample size ya kutosha...ningeweza kukubaliana na wewe...Kwa sasa natoa benefit of doubt kwamba may be ni wachache wenye vijitiabia kama hivyo!!

Babu DC
 
Back
Top Bottom