Haya hapa maujanja ya kutengeneza Natural Viagra, Mademu lazima wakukome!

hii Ni kweli kabisa naifahamu. na inafanya kazi kweli ila hakikisha wakati unakunywa hii juice uwe na njaa. yaani tumbo liwe empty
 
hii Ni kweli kabisa naifahamu. na inafanya kazi kweli ila hakikisha wakati unakunywa hii juice uwe na njaa. yaani tumbo liwe empty
Naomba uwe mfano mzuri kwa wasio amini, Usisite kutoa ushuhuda mkuu
 
You're tryping to kill a little energy you've
 
Hii ni kweli na sidhani kama ina side effect..

Binafsi huwa natengeneza pombe kali zangu mwenyewe kwa matumizi yangu mwenyewe na rafiki zangu.. Nilinunua mashine ya distillation kutoka China, ndogo tu for home use. Sasa kuna wakati nikatengeneza whisky ya watermelons kwa kuchanganya na limao na grapes.. Nikafata taratibu zote za kuandaa whisky mpaka nikapata product niliyoitaka..

Sasa kimbembe kikaja nilivyoanza kuitumia ile kitu.. Siku ya kwanza kuinywa uume haukulala usiku kucha.. Nikajiuliza maswali mengi sana nini tatizo.. Ikabidi kesho yake nimwite mama house, aiseeee mpaka alidhani labda nimemlia viagra maana performance haikuwa ya nchi hii..

Nikampa na rafiki yangu mmoja hivi na wala sikumwambia ile kitu ina nini.. Jamaa akaja kunipigia simu asubuhi ananiuliza ile kitu nimeweka nini.. Watermelons ni hatari sana
 
hatari mzee lazima nitengeneze hii kitu mana hakuna nampa hebu veleur zikae pembeni kwanza
 
Best luck wakuu
 

Attachments

  • How+To+Make+Natural+Viagra-+Viagra+Alternative+Tips_low.mp4
    2.1 MB · Views: 108
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…