masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
hivi mafuta ya helkopta yanauzwa wapi???
Yesu ni Mungu Mkuu.Yesu mungu?
Hii mada imekuja hapa kufanya nini...?
Halafu punguza kisabengo na kiherehere au wewe ndo dada nilliye m-quote...?
Kwa mpango huu labda Mbasha anunue Jet ndo ataweza kumdinya tena frola
samahani mama hapa malalamiko hayasaidii zaidi ya kuonekana boya
kama hutaki mtu akuquote tuma private message
sawa mama
samahani mama hapa malalamiko hayasaidii zaidi ya kuonekana boya
kama hutaki mtu akuquote tuma private message
sawa mama
Yesu ni Mungu Mkuu.
Jamani, comments zenu zinatisha.
Ila tufahamu kuwa unapotoa sadaka kanisani ni kwaajili ya Mungu, haitakiwi kuangalia mtumishi wa Mungu anatumiaje, zaidi ya kuona Injili inasonga mbele tu.
Mimi nasali kwa Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima, kiukweli Mungu anamtumia vema na ninapotoa sadaka natoa kwaajili ya kazi ya Mungu.
Kwa taarifa, hiyo chopa atakuja kuizindua Waziri Mkuu, Pinda, kabla haijaanza kueneza Injili nchini Tanzania.
Kumbe hata Biblia hukuwai isoma.Sasa ikawaje huyo Mungu wako akauliwa na Binadamu?
Binadamu wa kwanza kuumbwa ni Adam,kwa hiyo binadamu walianza kuwepo hapa duniani
Kabla ya huyo Mungu?!
Ahsante kwa swali,Israel represent all people,ndo maana Yesu alizaliwa siyo kwa ajili ya Israel tu ila kwa ajili ya ukombozi wa ulimwengu wote. Karibu Tena
Kama maandiko yanavyosema,kusaidia masikini na wasiojiweza ni amri ya Mungu,huyo mtumishi uliyemsema amekuwa na desturi ya kusaidia. Ununuzi wa chopa ni ili aweze kwa urahisi kuwafikia wote wanaohitaji kumjua Mungu wa Ibrahimu,Tatizo akili yako umeihifadhi nyuma umebaki kichwa tupu...Umeelewa nilicho post....
Hapo Kanisani kuna kina mama walala hoi wanaouza nyanya na pesa yote wanampa huyu Gwajima....Huyo Gwajima ana nyumba nzuri na maisha mazuri tuu kama mchungaji...
Hiyo hela ya Chopa angeweza jenga hata kituo cha watoto yatima au hata shule ya chekechea kwa ajili ya waumini wa hapo kwake......
Huu ni unyanyasaji wa hali ya juu..
Mungu wa Israel? Vipi kuhusu Mungu wa Bongo?
Ye yote amtegemeaye Bwana Mungu wa Israel,hakika kazi zake zitainuliwa,hongera Gwajima
Jamani, comments zenu zinatisha.
Ila tufahamu kuwa unapotoa sadaka kanisani ni kwaajili ya Mungu, haitakiwi kuangalia mtumishi wa Mungu anatumiaje, zaidi ya kuona Injili inasonga mbele tu.
Mimi nasali kwa Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima, kiukweli Mungu anamtumia vema na ninapotoa sadaka natoa kwaajili ya kazi ya Mungu.
Kwa taarifa, hiyo chopa atakuja kuizindua Waziri Mkuu, Pinda, kabla haijaanza kueneza Injili nchini Tanzania.
Tuliza mihemko wewe dawa iingie...Sasa ikawaje huyo Mungu wako akauliwa na Binadamu?
Binadamu wa kwanza kuumbwa ni Adam,kwa hiyo binadamu walianza kuwepo hapa duniani
Kabla ya huyo Mungu?!
Kumbe hata Biblia hukuwai isoma.
Anza kusoma kitabu kisicho kuwa na shaka ndani yake na kilichonyooka kinacho itwa Biblia. Majibu yako yote na maswali mengi ambayo hukuyauliza yamo humo.
Welcome to TEAM JESUS
Tuliza mihemko wewe dawa iingie...
YEESU ni MUNGU full stop