BUBE
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 845
- 254
. The Master! Biblia inaongelea watu waliomkubali Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yao kuwa ni wana wa Mungu, ukoo wa Yesu (yaani nduguze Yesu kiroho). Kwa hiyo, u-Israel unaoongelewa hapa sio wa kuzaliwa (kimwili) bali ule wakupewa (ungesema kirahisi naturalization). Kila aliyemkristo mfuasi wa Kristo, ambaye amejikana maisha yake ni muisrael. Soma Warumi 2.28 For he is not a jew who is one outwardly; neither is that circumcision which is outward in the flesh, but he is a Jew who is inwardly; and circumcision is that of the heart, in the spirit not.....Vp kuhusu kauli yake ya kwamba "Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya israel" alikuwa anamaanisha nini? Na je, aliposema "Ya nini kukitwaa kikombe kuwapa mbwa" alimaanisha mbwa ni kina nani?