Ye yote amtegemeaye Bwana Mungu wa Israel,hakika kazi zake zitainuliwa,hongera Gwajima
Ye yote amtegemeaye Bwana Mungu wa Israel,hakika kazi zake zitainuliwa,hongera Gwajima
Chopa mpya hii kweli? Naiona kama mtumbamtumba vile.Dadangu mpendwa F, usiwe unapanda hii kitu!Chombo kikiwa tayari kumpeleka mtumishi akufufue misukule
Wivu ni mbaya sana, hasa ukiwa mwanaume halafu ukawa na wivu kwny Mali za wenzio, mtaelimika lini? Iwe ni mtumba au sadaka za walalahoi, ww inakuhusu nn? Acheni upuuzi jamani
Mungu wa Israel? Vipi kuhusu Mungu wa Bongo?
Hizo ni sadaka za walala hoi...Yeye anapaa angani waumini asilimia kubwa ni masikini wa kutupwa..
Ahsante kwa swali,Israel represent all people,ndo maana Yesu alizaliwa siyo kwa ajili ya Israel tu ila kwa ajili ya ukombozi wa ulimwengu wote. Karibu Tena
Kutoa sadaka,Zaka au aina ya yo yote ya malimbuko ni agizo la Mungu. Kama wewe ni mkristo tafadhali biblia agano la kale Utaona jinsi gani Mungu alibariki Ibrahimu,Mfalme Solomoni na watu wengine kibao. Ye yote amtegemeaye Mungu atabarikiwa tu,hata wewe unayesoma thread hii ukitaka kubariwa utabarikiwa tuu.
Tatizo akili yako umeihifadhi nyumba umebaki kichwa tupu...Umeelewa nilicho post....
Hapo Kanisani kuna kina mama walala hoi wanaouza nyanya na pesa yote wanampa huyu Gwajima....Huyo Gwajima ana nyumba nzuri na maisha mazuri tuu kama mchungaji...
Hiyo hela ya Chopa angeweza jenga hata kituo cha watoto yatima au hata shule ya chekechea kwa ajili ya waumini wa hapo kwake......
Huu ni unyanyasaji wa hali ya juu..
Kutoa sadaka,Zaka au aina ya yo yote ya malimbuko ni agizo la Mungu. Kama wewe ni mkristo tafadhali biblia agano la kale Utaona jinsi gani Mungu alibariki Ibrahimu,Mfalme Solomoni na watu wengine kibao. Ye yote amtegemeaye Mungu atabarikiwa tu,hata wewe unayesoma thread hii ukitaka kubariwa utabarikiwa tuu.
Bongo wamejaa waganga wa kienyeji tu, bora tuamini Mungu aliyejidhihirisha kwa wenzetu waisrael. bongo wachawi na wapagani ndio maana tuliletewa good news za Mungu wa kweli na tunamuamini na tunamwona ktk maisha yetu.Mungu wa Israel? Vipi kuhusu Mungu wa Bongo?
kashtaki ukilalamika hapa haisaidii
Nakuambia Siku ya hukumu tuandae makamera, kwani yeye kajifufua?Chombo kikiwa tayari kumpeleka mtumishi akufufue misukule
Hakika Yesu ni MUNGU