Haya Comment zenu sasa

Haya Comment zenu sasa

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
BvF4mkrIgAAqQ6a.jpg
 
Mimi yangu ni hii Neema Kitwanga mshindi wa Insha ya SADC mwaka 2014 atakuwa na ukalibu na yule waziri au naibu waziri ilo jina la Pili najaribu kuweka . com
 
Hilo pozi - mwisho mheshimiwa Rais atasahau kwa muda shughuli za kiserikali!
 
Mbona huyu binti kama mchokozi, huo mkono mbona kamkumbatia muheshimiwa?? anamjua anamsikia??

Ha!ha!ha!..........Mi sisemi ngoja nipite nielekee Dodoma kwenye kamati kuu .
 
Halafu hivi huyu ni miaka 16 kweli ngoja nitafute carbon 14 kwanza
 
Yaani kabinti kazurii hadi raha, bado bikira hako hakajamjua mwanaume. Halafu huyu binti atakuwa amezoea kumkumbatia sana baba yake ndo maan hajapata woga wa kumkumbatia muheshimiwa namba 1.
She is cute kwa kweli nimekakubali, ura iko ang'avuu haina mekapu wala faundesheni wala puti nywele asilia yaani huo ndo uzuri asilia mimi napenda.

Hongera Neema, mimi nimeona hilo sijui wengine wataona nini.
 
Back
Top Bottom