Hawavumi lakini wamo ITV

BUSH BIN LADEN

JF-Expert Member
Mar 16, 2019
7,985
18,127
Hawa wasanii wanaotambulisha nyimbo zao kwa bwana Rajabu Zomboko huwa wanaishia wapi?

Sijawahi kumuona msanii alietambulisha kazi yake kwenye hiki kipindi amevuma na kuwa msanii mkubwa nchini.

Hapa nawaangalia jamaa wana gospel ya amapiano😀😀. Watatoboa kweli?
 
Ndio maana kimeitwa jina

Hawavumi lakini wamo ITV​

Similar Discussions

Back
Top Bottom