Hawataki tuachane hata baada ya mimi kuoa

Watumie message kuwa umesha athirika na ngwengwe wote watakukimbia!!

Mimi ni mtumiaji mzuri wa kondomu. nikiwaambia nimeathirka si watajua kuwa nawatania?

Ngoja nijaribu igigonga mwamba nitaomba tena ushauri? ahsanteni wooote kwa ushauri wenu. uwe mbaya ama mzuri mmenisaidia. tumalize mjadala huu hadi nitakapowaeleza vinginevyo.
 
Nimesoma thread yako unatafuta mwanamke wa kuzaa naye, hapa unasema wanawake hawataki kuachana na wewe hata baada ya kuoa. Na kama unatafuta mtu wa kuzaa naye si angalia kwenye hao wanaokuganda?
 
Nimesoma thread yako unatafuta mwanamke wa kuzaa naye, hapa unasema wanawake hawataki kuachana na wewe hata baada ya kuoa. Na kama unatafuta mtu wa kuzaa naye si angalia kwenye hao wanaokuganda?
Sasa kama hawa wansumbua hivi ukizaa nao si ndio matatazo na vijisababu vya kutaka niwe wao mzima mzima.

Wa kuzaa nae ni yule ambae naye anataka mtoto na mambo ya kufuatana futana yanakuwa hakuna.

We niaje??? hujaoa nini?????
 
Utoto bado unakusumbua, utazaa na mtu then basi? Huyo mtoto atakuwaje bila kuwa na close relation na baba?
 
ulizini kwa kifupi huyo pepo anakufuatilia ndio maana hataishia hapo hata kwa watoto wako itakuwa hivyo maana inaonekana unajisifia kwa tendo ulilofanya
 
Reactions: LD

Sifa za kijinga hizi...oops sijamaanisha bwana!!! Ila kama sifa tu vile...maujiko ujiko tu....khaaa ahii nimetania bwana.
 
dah!!nipee number yake mkuu hata kusumbua ntampa 4 in 1 hakika atakusahau na ndoa yako itadumu
 
Sasa kama hawa wansumbua hivi ukizaa nao si ndio matatazo na vijisababu vya kutaka niwe wao mzima mzima.

Wa kuzaa nae ni yule ambae naye anataka mtoto na mambo ya kufuatana futana yanakuwa hakuna.

We niaje??? hujaoa nini?????

kwani mkeo hajakuzalia?
 
kwani una ukoo na almasi???
 
he he he he he, umesema wapo wangapi 8??? kaka kwani ipoje uwiiiiiiiiiiiiiiii! tumia na kinga pia, maana hao 8, na wao wana watu wao wa nje yako, lol!
 
Sasa kama hawa wansumbua hivi ukizaa nao si ndio matatazo na vijisababu vya kutaka niwe wao mzima mzima.

Wa kuzaa nae ni yule ambae naye anataka mtoto na mambo ya kufuatana futana yanakuwa hakuna.

We niaje??? hujaoa nini?????
Mkeo hawezi kuzaa?
 
mkuu una nguvu kweli,kuhudumia wanawake wanane na hao wote unawafikisha. angalia unajichimbia kabur me mwenyewea kumbuka bao 1 unakuwa umepunguza muda wa kuish sasa piga hesabu mabao mangap unawatosheleza hao 8 plus mkeo. badilika condom c kinga ya ukimwi bali njia ya kupanga uzazi!
 
he he he he he, umesema wapo wangapi 8??? kaka kwani ipoje uwiiiiiiiiiiiiiiii! tumia na kinga pia, maana hao 8, na wao wana watu wao wa nje yako, lol!

hakuna cha kinga hapo madame, hao 8 c wote wanaokubali kinga kuna 1 ama kadhaa watakuwa hawapend hata wakachomoa. mwsho wa cku anajikuta kaukwa afu anaanza kujuta. ye ni mwanaume ana sauti ya kuweza kumkataa mwanamke yeyote. hapo anaendekeza ngono tu.tena atakuwa na pepo la ngono huyo!
 
du we kicheche kweli,yaani tisa kwa mpigo?
 
Unatakiwa kuwa na msimamo kuwa mkataba baina yao na wewe umeisha,usipokuwa hivyo utaendelea kunyanyasika maana wanajua hutaki hiyo mambo wife ajue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…