Kuna kila dalili kuwa, iwapo Rais JK ataendeleza Utawala Bora, Uwazi, Uwajibikaji na Haki kwa kila mtu, anaweza kutunukiwa tuzo mashuhuri ya MO IBRAHIM.
Hii itakuwa ni heshma kubwa kwa Tanzania.
Hata hivyo inasikitisha kuona kuwa CDM wanaendeleza vitendo visivyo vya kizalendo ambavyo vinaweza kusababisha tuzo hiyo ikaota mbawa.
Yafaa uongozi wa CDM utafakari suala hili kwa makini. Waelewe kuwa wanaweza kutoka mchango muhimu kuhakikisha kuwa Tanzania inapata tuzo hii ya heshma kwa mara ya kwanza. Akiipata JK, tutakuwa tumeipata wa-Tz wote.
Wakati mwingine ni muhimu kuweka ushabiki wa kichama pendeni na kulinda maslahi ya kitaifa.
Yaani Chadema waache kukazania mambo ya msingi ya upatikanaji wa umeme wenye uhakika waanze kufikiria MO ya Kikwete, nakusikitikia sana, nikisikia CDM wamefanya hivyo natangaza kukihama chama.Kuna kila dalili kuwa, iwapo Rais JK ataendeleza Utawala Bora, Uwazi, Uwajibikaji na Haki kwa kila mtu, anaweza kutunukiwa tuzo mashuhuri ya MO IBRAHIM.
Hii itakuwa ni heshma kubwa kwa Tanzania.
Hata hivyo inasikitisha kuona kuwa CDM wanaendeleza vitendo visivyo vya kizalendo ambavyo vinaweza kusababisha tuzo hiyo ikaota mbawa.
Yafaa uongozi wa CDM utafakari suala hili kwa makini. Waelewe kuwa wanaweza kutoka mchango muhimu kuhakikisha kuwa Tanzania inapata tuzo hii ya heshma kwa mara ya kwanza. Akiipata JK, tutakuwa tumeipata wa-Tz wote.
Wakati mwingine ni muhimu kuweka ushabiki wa kichama pendeni na kulinda maslahi ya kitaifa.
Hayo madola ya bahati nasibu siyahitaji.Hiyo tuzo inaendana na madola lukuki ambayo kwa namna fulani yatakugusa - wewe na mimi.
Who cares.From reliable sources: JK is now among top candidates for 2016 prize.
kama haikufaa rangi itafaa chokaa.........nani ampe tuzo huyu?Kuna kila dalili kuwa, iwapo Rais JK ataendeleza Utawala Bora, Uwazi, Uwajibikaji na Haki kwa kila mtu, anaweza kutunukiwa tuzo mashuhuri ya MO IBRAHIM.
Hii itakuwa ni heshma kubwa kwa Tanzania.
Hata hivyo inasikitisha kuona kuwa CDM wanaendeleza vitendo visivyo vya kizalendo ambavyo vinaweza kusababisha tuzo hiyo ikaota mbawa.
Yafaa uongozi wa CDM utafakari suala hili kwa makini. Waelewe kuwa wanaweza kutoka mchango muhimu kuhakikisha kuwa Tanzania inapata tuzo hii ya heshma kwa mara ya kwanza. Akiipata JK, tutakuwa tumeipata wa-Tz wote.
Wakati mwingine ni muhimu kuweka ushabiki wa kichama pendeni na kulinda maslahi ya kitaifa.
This is really a CRAP!!!!!
Kupungukiwa fikra tu, kwa taarifa yako MO IBRAHIM inaongozwa na Salim Ahmed Salim, na kwa aliyofanya jk kwa Salim kipindi kile cha uchaguzi kwa kumwekea propaganda za makusudi ili amchafue kinajulikana kuwa mtawala ambae hastahili tuzo ya aina yoyote ile, hilo salim analijua, na bahati nzuri si haya tu kwani salim anajua kila uozo unaofanywa na ccm na ndo maana ile zawadi hakuweza kuruhusu hata kidogo iende kwa mkapa achalia mbali mkapa alimpita jk mabli sana tu.
sasa ije leo MKWERE! KAMA UMETUMWA FORGET IT!
Hata nikijua itanisaidia niniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?, wewe uliye karibu na hao mafisadi ndiye utafaidika, achana na mimi niko mwitongo huku napalilia maparachichi hiyo MO sijui MEE yako haitanisaidia kitu.Michango yako inaonesha hujui tuzo ya Mo Ibrahim ni kitu gani.
Hutahukumiwa kwa kukaa kimya... badala ya kujaza pumba kwenye jamvi.
Kuna kila dalili kuwa, iwapo Rais JK ataendeleza Utawala Bora, Uwazi, Uwajibikaji na Haki kwa kila mtu, anaweza kutunukiwa tuzo mashuhuri ya MO IBRAHIM.
Hii itakuwa ni heshma kubwa kwa Tanzania.
Hata hivyo inasikitisha kuona kuwa CDM wanaendeleza vitendo visivyo vya kizalendo ambavyo vinaweza kusababisha tuzo hiyo ikaota mbawa.
Yafaa uongozi wa CDM utafakari suala hili kwa makini. Waelewe kuwa wanaweza kutoka mchango muhimu kuhakikisha kuwa Tanzania inapata tuzo hii ya heshma kwa mara ya kwanza. Akiipata JK, tutakuwa tumeipata wa-Tz wote.
Wakati mwingine ni muhimu kuweka ushabiki wa kichama pendeni na kulinda maslahi ya kitaifa.
Kuna kila dalili kuwa, iwapo Rais JK ataendeleza Utawala Bora, Uwazi, Uwajibikaji na Haki kwa kila mtu, anaweza kutunukiwa tuzo mashuhuri ya MO IBRAHIM.
Hii itakuwa ni heshma kubwa kwa Tanzania.
Hata hivyo inasikitisha kuona kuwa CDM wanaendeleza vitendo visivyo vya kizalendo ambavyo vinaweza kusababisha tuzo hiyo ikaota mbawa.
Yafaa uongozi wa CDM utafakari suala hili kwa makini. Waelewe kuwa wanaweza kutoka mchango muhimu kuhakikisha kuwa Tanzania inapata tuzo hii ya heshma kwa mara ya kwanza. Akiipata JK, tutakuwa tumeipata wa-Tz wote.
Wakati mwingine ni muhimu kuweka ushabiki wa kichama pendeni na kulinda maslahi ya kitaifa.
Hata nikijua itanisaidia niniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?, wewe uliye karibu na hao mafisadi ndiye utafaidika, achana na mimi niko mwitongo huku napalilia maparachichi hiyo MO sijui MEE yako haitanisaidia kitu.