Pohamba;
Sikuwa makini hivyo. Dah! Aksante kwa kunifumbua macho. Yoote hayo ni kutafuta tu namna ya kuonesha kuwa kuna wenye maadili na waliokosa maadili.
Huyo wa mbele hadi alishindwa kuzuia Tabasamu lake. Loh! Yaani naye anatamani huyo mumewe angemruhusu akae hivyo ka huyo mdada. Jamani, msijiue kwa kutamani. Njooni hukuuuu. Anawaambia wadada wenzake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.