Hawatakaa wamsahau

Hawatakaa wamsahau

Field Marshal and The British Conqueror President Idd Amin Dada. Huyu jamaa ame enjoy sana urais wake. Aliwaongoza waganda kama wanae wakuwazaa. Ukifanya madudu sijui upinzani wa hapa na pale ni public execution. Haina kuremba. Hizo ndiyo bakora zake sasa Ole wako ajue kama we ni jasusi unaetumika na mataifa ya ulaya...kichwa chako kitamuhusu kwa kumbukumbu
 
Na alipenda sana kula nyama za watu hasa maini figo moyo na mabumbu au magende
 
quote_icon.png
By mshana jr
Bishop Hiluka uko ndani ya nini?

Mmh! miss chagga, sasa mbona unatoa siri? Unataka wajue kuwa wewe ndo uliyenificha ndani?...
 
Back
Top Bottom