Hawatakaa wamsahau

Hawatakaa wamsahau

Idi amini akifa Mimi siwezi Julia nitamtupa kagera awe chakula cha mamba!!
A see nimeukumbuka huu wimbo

Mchaka mchaka chinja alimselem hadija....!!! those days
 
Eti uganda mpaka leo hakuna dada gaidi kama huyu nduli idd amini
 
Anakaa upande upi?

Nipe hela nikusamehe
Hahahahaaaa Hahahahaaaa chukua hizi umsamehe lol mchagga weye 1409655223964.jpg
 
Aliyeanzisha thread hakuwa makini wakati wa kuweka picha. Picha ya rangi juu sio ya idi amin dadaa, ni ya mwigizaji aliyemwigiza idi amin kwenye filamu ya rise and fall of id amin ni mkenya na amefariki mwaka jana.
 
namkubali sana mtu huyu....ooh ooh o naliaaa nangojea pijo kupanda!
"I do not want to be controlled by any
superpower. I myself consider myself the
most powerful figure in the world, and
that is why I do not let any superpower
control me."-IDD AMIN, jamaa alikua na ma-confidence ya kufa mtu aisee.
 
Back
Top Bottom