Hawana sifa za kuongoza nchi

Usiogope, matusi lazima utandikwe, maana umeshachokonoa mzinga wa nyuki watakuuma tu!!
 

Subiri ilani ya uchaguzi ya Ukawa ndiyo utaona mipango inayitekelezeka na itakayoiondoa CCM. Watu wako kazini sasa hivi.
 
Subiri ilani ya uchaguzi ya Ukawa ndiyo utaona mipango inayitekelezeka na itakayoiondoa CCM. Watu wako kazini sasa hivi.

Ndoto za abunuasi izo maana hata Slaa rais wenu alisema hayo mwaka 2005 lakin akaambulia patupu
 
kuhusu Lowasa nakuunga mkono ila sababu kubwa ya kutofaa kwake ni kukosa uadilifu. Hili hata mwalimu aliliona mapema
 
Usiogope, matusi lazima utandikwe, maana umeshachokonoa mzinga wa nyuki watakuuma tu!!

Mkuu,

Nimecheka sana hii comment yako ni Kweli asubiri matusi maana wale vijana wa ufipa wakiona hii comment yako watakutukana, watakuvua nguo hadharani, watakunanga sana hadi utakipata kilichomtoa kanga manyoa kichwani!

Subiri waamke utakiona cha moto
 
Subiri ilani ya uchaguzi ya Ukawa ndiyo utaona mipango inayitekelezeka na itakayoiondoa CCM. Watu wako kazini sasa hivi.

Hadi Sasa upo salama Subiri waamke utakiona cha moto....yaani wewe umechokoza nyuki mchana kweupe, watoto wa ufipa watakushambulia kama paka mwizi
 

Mbona na wewe unalalamika tu, toa mbadala wao!
 
Ndugu watu wa kusini wasafi ndugu karibia wote kuanzia mwandosya

Hatuhitaji tu usafi wa mtu bali uwezo wake kiutendaji ndo msingi wa mambo yote.Mwandosya hajuhusishwa na kashfa yoyote ya ufisadi lakn pıa hana record ya chochote muhmu alichofanya.Nilishagaa kwenye escrow saga akijenga hoja ati hela ilikuwa ya serikali kwa sababu ilikuwa kwenye vitabu vya maheşabu ya BOT &TANESCO-profesa???Walele wale tu!Hajuı kuwa liabilities zınatakiwa kuonekana kwenye vitabu?Jembe ni Slaa na Chadema.Slaa anasimamia dhana kuu ya uwajibıkajı wa wananchı na viongozi wa umma pamoja na elimu bora fullstop.Ufisadi na mengne ni mnyambuliko wa hayo mawl.
 
Maamuzi magumu ya kumfata shetani? Mtu ukiwa desparate ni balaa. Nani anataka maamuzi magumu? Ivi definition ya maamuzi magumu ninini?
 
Mkuu unapo sema dr slaa. Hana jipya unakosea sana kumbuka dr slaa kipindi kile yuko bungeni aliwahi kuchukua tuzo kwa kuongoza kuuliza maswali ya msingi bungeni na tena ukiangalia katika watu uliowaweka bapo juu dr slaa ndio anaongoza kwa kuwa na nidhamu amini usiamini.
 

mkuu usiogope...mtoa thread mwenyewe anajua Dr slaa namba nyingine sema amemuweka kubalance hoja mfu yake
 

Watu wa kusini wasafi na watendaji pia,eti mwandosya ajafanya kitu,Ivi ww una akili kweli???Usije kuthubutu kuongea ivyo mbele za watu maana utapigwa vibao ndugu,mwandosya amefanya mengi sana akiwa katika wizara,uyo slaa kafanya nini zaidi tu ya kutaka urais kwa nguvu,kwanza naye ni msaliti kama zito maana alisaliti kanisa katoliki kwa ajili ya tamaa zake za kimwili,
 

Toa mapendekezo "nani anafaa"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…