Hawakutania...when You become public enermy

Hawakutania...when You become public enermy

Na wamkazie zaidi hadi hubby wake ajue kuwa wananchi tumekereka mnoo na ushenzi aliokuwa akifanya. Mimi najiuliza mara kwa mara kwanini kwanini mkuu au excellence hakumtumbua. Shenzi sana huyu jamaa..yaani nchi inakuwa kama yake na mkewe wakati yeye kapewa u RC na sio ticket ya mbinguni
 
Bila waandishi wa habari ni bure kabisa.... Alikuwa anadhani hata wasipokuwepo atafanya kazi nyoooooo......
 
Na badooooo. Atamwambia babayake wafungue media yao wawili na kampuni la michezo
 
Hapo ndo utajua kuwa hawa wanasiasa hawafanyi kazi yeyote zaidi ya kujitingisha kwenye media.Media hakuna na hakuna cha chapa kazi wala nini
 
fefecf7841bd3de4757aea6dfd9f46d0.jpg
Ukitaka kuthibitisha mtokee.
 
pamoja na hayo yote bado jf anatamba na kuongoza kwa kutajwa tajwa. kama vipi acheni kumtaja na humu. au nyie jf hamjamsusia? hamuwezi kukaa bila kumtaja? kwan asipotajwa na hao waandishi hatapewa salary?
Anatajwa kwa jina la kinyeo chake wewe ndio unakenua eti ametajwa!!!!?

Ngoja nami nimtaje hapa chini.

Bashite kabunduki kake hakajawahi kuua hata panya.
Bora amrudishe kwao mtoto wa watu akatendewe haki na vidume.
 
pamoja na hayo yote bado jf anatamba na kuongoza kwa kutajwa tajwa. kama vipi acheni kumtaja na humu. au nyie jf hamjamsusia? hamuwezi kukaa bila kumtaja? kwan asipotajwa na hao waandishi hatapewa salary?
Huku tutaendelea kumkosoa hadi hapo atakapojilekebisha Jf ni shule tosha kama tusipomuandika watu watakosa kujielimisha na kutambua ubaya wa kubebwa
 
Back
Top Bottom