SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,973
- 75,047
mshana jr KOIKA unafahamu kirefu chake?kama ndiyo umeijumuisha vipi na Japan?tuanzie hapo.
Alimaanisha JAICA vidole viliteleza kwenye key board.
mshana jr KOIKA unafahamu kirefu chake?kama ndiyo umeijumuisha vipi na Japan?tuanzie hapo.
Vinahusiana vipi KOIKA ni nini?Alimaanisha JAICA vidole viliteleza kwenye key board.
siku hizi ndiyo uchochezi wenyewe...wenye ukweli kwa karibu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu hili la kukosa chanjo lina onesha jinsi tusivyo kuwa makini kama taifa, chanjo hazikutakiwa kutegemea wafadhiriTanzania chanjo hakuna but V 8 2016 zipo tena za Serikali Tanzania sio nchi ya mchezo mchezo inapenda UjingaView attachment 413597View attachment 413598
300 ukienda Toyota ila kwa Serikalini kuna bein maalumu ya jumla coz wanachukua mengiNchi inahela bhana, hivi V8 2016 inafika Tsh ngapi mweny ujuz atujuze
Hata viwanda sikuhizi vinasikika kwa mbali…View attachment 413574Kuna mahali zamani sana nyumbani kwa ndugu yangu niliona picha ya simba yenye maneno haya NO POLITIC yaani kwa kinyasa hakuna siasa
Kuna kipindi katika maisha yangu nilivutiwa na siasa wakati ule wa chipukizi na skauti ilikuwa mwaka 1983! Nilikolezwa nikakolea, nikawa na ndoto nyingi...hasa kuwa mwanasiasa mahiri!!!
Sisi kama nchi hatukuwa na uwezo wa kutengeneza gari zetu wenyewe hivyo kama nchi tukaingia mkataba na waingereza kutuuzia magari yao serikalini! Huu ulikuwa ni mkataba rasmi na ndio maana kipindi chote cha mwalimu Nyerere tulitumia magari ya muingereza Landrover Range rover nk
Mzee Mwinyi aliposhika hatamu mwaka 1985 akaamua kuvunja mkataba na waingereza na kuingia mkataba mpya rasmi na wajapani wakati huo waziri mkuu akiwa Mzee John Samwel Malecela na naibu wake akiwa ndugu Edward Ngoyai Lowassa
Mkataba huu ulimaliza kipindi cha magari ya uingereza kutamba nchini na nchi ikaanza rasmi kutumia magari ya kijapani maarufu kama land cruiser, huu ni mradi mmoja mkubwa sana wa mabilioni ya dola!
Wajapani kwa Shukrani yao kwenye hili wakaanza kutuletea magari makuukuu kwa bei poa wakati ule kama jaba na vile vile kutufumba mdomo na kutuziba macho kwa misaada mbalimbali kama KAJIMA KOIKA ya sasa nk nk
Ni takriban miaka zaidi ya 30 sasa tunatumia magari ya kijapani, mapya na chakavu, tafsiri yake ni kwamba mpaka vipuri nk ni vya kwao, ukija kuangalia kwa jicho angavu wajapani wamefaidika na sisi zaidi kuliko sisi tulivyofaidika nao..hawawezi kirahisi tu kukubali watupoteze!
Kwenye duru za siasa serikali ikaanza kupigiwa kelele kuhusu kutumia magari ya gharama kubwa bila sababu! Hii ikawa ni kama mtaji wa kisiasa, na joto lilipozidi watu ili wapate kura wakaanza kutoa ahadi za kutonunua hayo magari tena
Sensa zikafanyika na baadhi yakaanza kurudishwa serikali kuu ikiwa ni maandalizi ya kuacha kuyatumia! Ilikuwa ni hatua moja mbele muhimu sana kisiasa kuna waziri mmoja wa ujenzi akajizolea umaarufu kwenye hili....! Alichosahau ni kimoja kwamba hivi vitu vina mikataba rasmi kuwa ili upate msaada fulani inabidi kila mwaka wa fedha uagize toka kwao si chini ya magari kadhaa .......
Leo hii pamoja na kelele zote zile ndio kwanza ma land cruiser ya ukweli na new model yanabanana serikalini na wizara na vitengo vyake....
Ukitaka kufanikiwa kwenye lolote maanisha unachokinena na nena unachomaanisha
Si kila kitu ni matamko ya kisiasa majukwaani, kuna mikataba rasmi kama yale magorofa ya mabepari zikipokuwa ofisi za umoja wa vijana
View attachment 413586
ALAMSIKI.....!!!!
Mkuu sijaelewa!View attachment 413574Kuna mahali zamani sana nyumbani kwa ndugu yangu niliona picha ya simba yenye maneno haya NO POLITIC yaani kwa kinyasa hakuna siasa

Daah kweli kaz ipo.. Hela zote izo wangenunua Land cruiser hard top nahisi bei ipo chin kidogo.300 ukienda Toyota ila kwa Serikalini kuna bein maalumu ya jumla coz wanachukua mengi
I think is JAIKASijui hivi ni wa korea ama wajep? Kama nimekosea kuwajumuisha hapa nitangulie kuwaomba radhi
Sahihi. Lakini wote ni wale wale! JAICA. KOICA. AMERICAN PEOPLE. USAID. DANIDA. Whatever you call them, ni majangili tu!Tumekusamehe KOIKA nishirika la misaada la korea kusini kama lilivyo JAICA la Japan labda ndilo ulitaka kumaanisha ukajikuta umeandika KOIKA na linaitwa KOICA na si KOIKA.
Jaica not JaikaI think is JAIKA
Atayafanyia kazi,nina imani,haya mambo ya mikataba inabidi kwenda nayo tartiibu,pengine kwa jicho la tatu kuna kitu Taifa linafaidika..ila kwanz akupata uhakika wa mizani. kabla yaNakumbuka hata ktk kampeni za uraisi Magufuli aliweka wazi kuwa akiingia madarakani haya magari atauza na hakuna kununua tena haya magari! hadi leo naona kimya au 'anayavutia pumzi'?
Wenyewe wanaita uchocheziwenye ukweli kwa karibu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
na wewe pia sio JAICA ni JICATumekusamehe KOIKA nishirika la misaada la korea kusini kama lilivyo JAICA la Japan labda ndilo ulitaka kumaanisha ukajikuta umeandika KOIKA na linaitwa KOICA na si KOIKA.
Namjua huyu jamaa but zile za Serikali ni zenyewe kabisaa kuna MTU yuko ofisi ya Mkuu wa Mkoa Siku inaletwa hakuaminView attachment 414012View attachment 414014View attachment 414015View attachment 414016
Usidhani kila Land cruiser 2016 unayoiona mjini ni mpya kuna jamaa wabaya sana waku Upgrade magari now in dar es salaam. Watu adi wanatoka Kenya kuja kuUpgrade magari yao